Hawa watu ni mbumbumbu sana!
Tulionya humu toka mwaka unaanza kwamba selikali isiruhusu mazao kutoka kwenda nje, wakakaza mafuvu! Na kuna mataahira humu yakawa yanatuita sukuma gang!
Leo hii mchele ule chenga kabisa wa vitumbua unauzwa sh 2000 toka 1000
Nmeongea na muuzaja anasema watu wa nje hasa kenya wana mastoo ya kutosha wamejaza mchele na hili la selikali kupiga marufuku sasa hivi imeshtuka kukiwa too late na anasema kabisa hali itakuwa mbaya zaidi maana hakuna tena mchele huko mashambani.
Ngoja ufike hata elfu 10 ili hata yale mataahira yaliyokuwa yana kejeli tuliposhauri yakianza kulala njaa ndio yatapata akili