Serikali: Bei ya Mchele imefikia Tsh. 3,500, Maharage 3,500, Mahindi 1,500 kwa kilo

Serikali: Bei ya Mchele imefikia Tsh. 3,500, Maharage 3,500, Mahindi 1,500 kwa kilo

Hakuna Bei elekezi kwenye chakula.
Serikali inacho weza kufanya nikuingiza mzigo sokoni kutoka kwenye akiba yake.

Na hii mara nyingi inahusu mahindi.
Serekali inapanga Bei kwa kukuzuia isipande ndo maana kipindi Cha magufuli Ali ban export Bei ikawa stable na ikawa haipandi

Wafanyabiashara/cartels ndo watu hatari kwenye hili swala lazima ufahamu hilo
 
Kufunga mipaka sio ufumbuzi.
Hii inatakiwa kua hatua yamwisho kabisa na kuwe na viashilia vya upungufu wa chakula

Nakuhakikishia kama mbinu za kupunguza mfumko wa Bei nihizo Kila mwaka kutakua na upungufu.
 
Unajua mwaka huu mvua zilikua chache karibia nchi nzima na kupelekea mavuno kupungua
 
Una tani ngani ghalani? Nimenunua tani 170 Ifakara,lakini sijaona sura ya mkulima hata mmoja kati ya wote nilionunua kwao.
Mimi ni mkulima na ninavyoongea mpunga wangu upo Ubaruku ghalani, sasa sijui katika sample yako ya hao wasionufaika na kupanda kwa bei na mimi nimo au lah. Na ata hao wakulima wenye mtaji mdogo hakuna aliyeuza gunia la mpunga chini ya 80,000 mwaka huu wakati mwaka jana gunia kipindi cha mavuno lilifika mpaka 35,000
 
Una tani ngani ghalani? Nimenunua tani 170 Ifakara,lakini sijaona sura ya mkulima hata mmoja kati ya wote nilionunua kwao.
Ipo hivi, baada ya mavuno wakulima wengi wadogo kutokana na mahitaji na wengine madeni huuza mpunga wao ili wapate pesa za kuendesha maisha yao. Hii haimaanishi kwamba nyakati zote huuza kwa hasara. Isipokuwa faida ambayo wanaonunua kwa wakulima wanaipata ni kutokana na wengi wanakuwa na financial muscle, wanaweza kutunza mpunga wao muda mrefu kusubiri uhaba na bei zipande ili na wao wauze kwa faida.

Nikuhakikishie, wakulima wengi wameuza mpunga kwa bei nzuri mwaka huu pamoja na ukweli kwamba wengi hawajavuna vizuri kutokana na uhaba wa mvua na bei juu ya mbolea. Ukisema kwamba kilimo hakiwafaidishi wakulima bali wachuuzi sio kweli na haitokuja kutokea wakulima wote waweke mazao yao gharani kusubiri bei iwe juu. Kila mtu huuza kwa wakati wake na kwa msukumo wa mahitaji yake
 
Back
Top Bottom