Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Thanks pascalSerikali Bunge na Mahakama, zina wajibu wa kuheshimiana, mahakama ikitoa hukumu, bunge na serikali zinapaswa kwanza kutekeleza hukumu husika, ndipo taratibu za kukata rufaa ziendelee, lakini kwa mujibu wa katiba ya JMT ya mwaka 1977, dhima ya mtunga katiba ni sheria yoyote batili, sio sheria, kwa lugha ya kisheria ni "void ab initio", yaani haipo!.