johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kamanda mwenzangu wewe utadungwa chanjo makalioniHii ni ishara kwamba mataga mjiandae kudungwa chanjo ya corona, hizi sio zama za marehemu pombe.
Hahahaaaa.......!Kamanda mwenzangu wewe utadungwa chanjo makalioni
Bwashee kamati ya Corona siyo serikali!Kama ile kamati waliyoiunda ilitoa mapendekezo ya njia za kujikinga na Corona, na chanjo ni njia mojawapo ya kujikinga, sasa serikali mbona inajichanganya?
Naona hawa watu huko serikalini bado hawajielewi wanaelekea wapi.
Ujumbe wa mheshimiwa Paul Kagame....Msemaji mkuu wa serikali mh Gerson Msigwa ametolea ufafanuzi tangazo la serikali linalohusu chanjo ya Corona.
Msigwa amesema chanjo iliyoruhusiwa ni kwa ajili ya wafanyakazi wa balozi na taasisi za kigeni tu.
Kuhusu chanjo ya Corona kwa wananchi serikali itafanya uamuzi baada ya kupitia kwa kina taarifa na mapendekezo ya tume ya Corona.
Source: ITV habari
Ikianza kwa wafanyakazi wa ubalozini mwisho wake inaelekea wapi kama sio kwa watanzania wote? Corona naona imekuwa politicsMsemaji mkuu wa serikali mh Gerson Msigwa ametolea ufafanuzi tangazo la serikali linalohusu chanjo ya Corona.
Msigwa amesema chanjo iliyoruhusiwa ni kwa ajili ya wafanyakazi wa balozi na taasisi za kigeni tu.
Kuhusu chanjo ya Corona kwa wananchi serikali itafanya uamuzi baada ya kupitia kwa kina taarifa na mapendekezo ya tume ya Corona.
Source: ITV habari
Ngoja serikali iamue!Ikianza kwa wafanyakazi wa ubalozini mwisho wake inaelekea wapi kama sio kwa watanzania wote? Corona naona imekuwa politics
Kwani si ni hiari?Ni suala la muda tu .....tujiandae kudungwa tu hamna namna dunia kijiji...
Ni hiari sasa ukiwa front mfano vyombo ulinzi usalama mipakani waongoza watalii hoteli za kitalii ......wahudumu afya hao ni lazimaKwani si ni hiari?
Chanjo ya corona haina madhara yoyoteMsemaji mkuu wa serikali mh Gerson Msigwa ametolea ufafanuzi tangazo la serikali linalohusu chanjo ya Corona.
Msigwa amesema chanjo iliyoruhusiwa ni kwa ajili ya wafanyakazi wa balozi na taasisi za kigeni tu.
Kuhusu chanjo ya Corona kwa wananchi serikali itafanya uamuzi baada ya kupitia kwa kina taarifa na mapendekezo ya tume ya Corona.
Source: ITV habari
It is a beginning for the end. It will unfold eventually. The jab for all.Msemaji mkuu wa serikali mh Gerson Msigwa ametolea ufafanuzi tangazo la serikali linalohusu chanjo ya Corona.
Msigwa amesema chanjo iliyoruhusiwa ni kwa ajili ya wafanyakazi wa balozi na taasisi za kigeni tu.
Kuhusu chanjo ya Corona kwa wananchi serikali itafanya uamuzi baada ya kupitia kwa kina taarifa na mapendekezo ya tume ya Corona.
Source: ITV habari
HaaaaaaaKamanda mwenzangu wewe utadungwa chanjo makalioni