Serikali chini ya Samia mnapoteza muda kupambana na TEC, hamtoweza

Mbona Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, Hana hata habari na TEC ila TEC ndo wenye habari nae! Kutwa kucha kazi ya kumshambulia tu. Amiri jeshi mkuu alishasema, "hakuna taasisi ya kidini inayoweza kuoverride serikali" basi akamaliza na yupo anaendelea na mishe zake. Ni nyie tu vidampa ndo mnahangaika ye alishaachana na nyie.
Umeshampigia kura as the THE MOST TRYANT OF THE YEAR 2025? Hii tuzo anabeba kwa 100%
 
Pumba tupu, eti wanakariri bila kujua maana, nani kakwabia, ulivyo kua sio mfatiliaji hujui hata ni lini lugha ya kanisa katoriki ilibadilika kutona kilatino. Hao teki ni magaidi.
Mkuu kuandika kwenyewe kama ni hivi...utaweza kujibu hoja kwa ufasaha kweli
 
Ni wapi TEC wamemsema Samia, na wewe ni kadampa mwingine tu.
Sio wamemsema wanamsema waziwazi,unabisha nini,hili jambo liko waziwazi na wala sina haja ya kubishana na mtu,ukweli uko waziwazi,wewe ndio huna hata busara wala staha,angalia maandishinyangu yalivyo na heshima na staha,angalia lugha unayotumia wewe,unaweza kumshawishi nani kwa aina hiyo ya lugha?
 
Pamoja na vitisho na vimbwaka wanavyofanyiwa TEC bado wanatoa za uso kimtindo huko majimboni mwao waliko. Mara sijui askofu wa jimbo fulani katoa boko, mara wa jimbo jingine tena naye katoa nakoz za uso, hawaogopi kutekwa hawa!
 
Pumba tupu, eti wanakariri bila kujua maana, nani kakwabia, ulivyo kua sio mfatiliaji hujui hata ni lini lugha ya kanisa katoriki ilibadilika kutona kilatino. Hao teki ni magaidi.
Nionyeshe ugaidi wa TEC ili nasisi tukuonyeshe shehe ubwabwa mkata vichwa nani gaidi?
 
Sio wamemsema wanamsema waziwazi,unabisha nini,hili jambo liko waziwazi na wala sina haja ya kubishana na mtu,ukweli uko waziwazi,wewe ndio huna hata busara wala staha,angalia maandishinyangu yalivyo na heshima na staha,angalia lugha unayotumia wewe,unaweza kumshawishi nani kwa aina hiyo ya lugha?
Umesoma alichoandika huyo niliyemquote, au umekurupuka tu.
Sema TEC ni wapi walipomsema Samia, acha kuzunguka mbuyu
 
Sizunguki.mbuyu nasemavwaziwazi TEC wanampiga vita samia na kuna kampeni ya waziwazi dhidi ya samia,mimi nayasema haya wala sio shabiki wa samia,simjui na wala yeye hanijui,siyo mwanachama wa ccm au chama chochote cha siasa lakini kwa kificho na kwa uwazi kuna vita Tec hawamtaki samia
 
Pamoja na kuwa TEC ni taasisi kubwa na ninayo iheshimu sana hasa kwa kazi zake nzuri ILA kuna pahala wanatakiwa waangalie vizuri namna yao ya kuwasiliana na Mamlaka iliyopo madarakani.

Hata kama TEC inaona kiongozi anakosea, naamini kwa elimu yao nzuri wanajua kabisa, yapo ya kwenda hadharani moja kwa moja lakini yapo ya kujadiliana moja kwa moja na uongozi. Na huu ni utaratibu wa kawaida kabisa katika maisha ya kila siku.

Ukijiona wewe unaweza kuongea chochote na mahali popote jua tayari umejitwalia madaraka ambayo ni zaidi ya nafasi yako hivyo unatakiwa urejee maandiko kama ndivyo yametuelekeza hivyo.
 
Sizunguki.mbuyu nasemavwaziwazi TEC wanampiga vita samia na kuna kampeni ya waziwazi dhidi ya samia,mimi nayasema haya wala sio shabiki wa samia,simjui na wala yeye hanijui,siyo mwanachama wa ccm au chama chochote cha siasa lakini kwa kificho na kwa uwazi kuna vita Tec hawamtaki samia
Hawamtaki kivipi, kusema tu hawamtaki haifanyi maneno yako kuwa kweli, eleza kwa facts, TEC hawamtaki Samia kivipi?
 
Niliwahi kusema kuwa Samia amefeli kwenye kila idara ya uongozi na kwa sasa nchi haijulikani ina mission gani na inataka ku achieve nini!!

Kwa walioanza kuisikia TEC juzi, unaweza kuhisi ni kweli TEC inashida na Samia: but ni TEC hii hii ilipambana sana NGOSHA , ambapo Ngosha ni amelelewa chini ya malezi ya kikatoliki ila alipoanza Udikteta Uchwara, TEC walilala na JPM sahani moja mpaka kifo cha JPM, ilifika pahala JPM alikuwa frastuated sana na hawa jamaa zake mpaka hakujua nini cha kufanya. In his deathbed JPM alitubu kwa imani yake na kusema kuwa anatambua TEC ni taasisi imara kwa maslahi ya wananchi.

Kwa mfano, Shambulio la lissu… kuna muislam au mlokole au KKKT aliefungua mdomo? Ni TEC pekee ndio walitoa waraka upfront immediately. TEC ni foundations behind the human truth and Consciousness… you should clearly note that na machwa wako wanakupeleka shimoni

Ni upumbavu wa hali ya juu mtu kuamini kuwa TEC inashida na serikali ya sasa eti kisa ni muislam !! Hivi Samia ndio Rais pekee wa Islam kutokea TZ….?By the way hivi uislam unaleta ugali au matibabu?

Nadhan Samia ajifunze kwanza Composition ya TEC, TEC inachukuwa the cream brains na kuzi intergrate kwenye mifumo ya kidini. mfumo wa elimu ya kiislam ni madrasa ambao sio mfumo wa elimu ya utambuzi na self realization -imagine mtu anafundishwa kukariri kitu ambacho hata maana yake hajui but anajua kukisoma na kukariri Ila hajui maana yake.

Nadhani Samia ajifunze kwanza what is TEC na vita na TEC hatoiweza hadi anamaliza muda wake, kwasababu TEC ukiwaona upfront ujue wanaongelea maslahi ya taifa na wananchi, sio kama wale wenzetu ukiwaona upfront ujue wanaizungumzia TEC ! Uliwahi kusikia kiongozi wa TEC akizungumzia Islam
hata siku moja?
Wakati unaendelea kupambana na TEC na wadai haki…..by the time unakuja kuamka kwenye hiyo illusion ya amani bila haki …. Itakuwa umeshachelewa sana na hasara haitokuwa kwako tu but hata kwa taifa maana be assured that hata ufanye nini TEC will never stop kuzungumzia haki—— unajipotezea muda tu…

..haki ni independent variable na Amani ni outcome Yaani dependent variable , so Samia na team yako stop deluding yourselves hakuna kitu kinachoitwa amani kwanza kisha haki… huo ni UHUNI na UTAPELI hata mu cosmetic vipi
Wakati unapambana na wananchi wako , watu wanajenga nchi zao …. Endeleeni kuwa kwenye usingizi mzito

Heshima kubwa sana kwenu TEC , Sio muumini wa kikristo wala Islam but nina heshima kubwa sana na TEC …. Kama nikiambiwa kuchagua basi nitaenda TEC/Catholic

Dr Megalodon Mushi
Canada
Safi sana
 
TEC ni wamissionale na kazi ya wamissionale ni kulinda masilahi ya Wazungu

Na mama amekata mirija ya Wazungu ndio maana unaona TEC wanahangaika

Bandali amepewa waarabu TEC wakaumia sana

Madini amepewa China na Urusi TEC wameumia sana

TEC walikuwa wanaihijumu nchi Kwa kutumia kivuli Cha dini na Sasa wameshachokwa inakatwa mirija Yao na mirija ya hao mabwana zao
Kama hayo madini na bandari wamepewa waarabu, waislam wa Tanzania wananufaike direct? Nijuavyo Mimi China na urusi hawafagilii udini, niambie jinsi watakavyowanufaisha waislam wa bongo!
 
Well said.
 
TEC ni wamissionale na kazi ya wamissionale ni kulinda masilahi ya Wazungu

Na mama amekata mirija ya Wazungu ndio maana unaona TEC wanahangaika

Bandali amepewa waarabu TEC wakaumia sana

Madini amepewa China na Urusi TEC wameumia sana

TEC walikuwa wanaihijumu nchi Kwa kutumia kivuli Cha dini na Sasa wameshachokwa inakatwa mirija Yao na mirija ya hao mabwana zao
Taifa kuwa na jamii yenye akili mfano huu wa Wazolee ni hatari na aibu kubwa.

Kama Watanzania wenyewe ni hivi bado safari ni ndefu sana,kama ni Dar to Mwanza basi ndiyo kwanza chuma ipo Magufuli Bus Terminal na dereva wetu simu hapokei.
 
Niliwahi kusema kuwa Samia amefeli kwenye kila idara ya uongozi na kwa sasa nchi haijulikani ina mission gani na inataka ku achieve nini!!

Kwa walioanza kuisikia TEC juzi, unaweza kuhisi ni kweli TEC inashida na Samia: but ni TEC hii hii ilipambana sana NGOSHA , ambapo Ngosha ni amelelewa chini ya malezi ya kikatoliki ila alipoanza Udikteta Uchwara, TEC walilala na JPM sahani moja mpaka kifo cha JPM, ilifika pahala JPM alikuwa frastuated sana na hawa jamaa zake mpaka hakujua nini cha kufanya. In his deathbed JPM alitubu kwa imani yake na kusema kuwa anatambua TEC ni taasisi imara kwa maslahi ya wananchi.

Kwa mfano, Shambulio la lissu… kuna muislam au mlokole au KKKT aliefungua mdomo? Ni TEC pekee ndio walitoa waraka upfront immediately. TEC ni foundations behind the human truth and Consciousness… you should clearly note that na machwa wako wanakupeleka shimoni

Ni upumbavu wa hali ya juu mtu kuamini kuwa TEC inashida na serikali ya sasa eti kisa ni muislam !! Hivi Samia ndio Rais pekee wa Islam kutokea TZ….?By the way hivi uislam unaleta ugali au matibabu?

Nadhan Samia ajifunze kwanza Composition ya TEC, TEC inachukuwa the cream brains na kuzi intergrate kwenye mifumo ya kidini. mfumo wa elimu ya kiislam ni madrasa ambao sio mfumo wa elimu ya utambuzi na self realization -imagine mtu anafundishwa kukariri kitu ambacho hata maana yake hajui but anajua kukisoma na kukariri Ila hajui maana yake.

Nadhani Samia ajifunze kwanza what is TEC na vita na TEC hatoiweza hadi anamaliza muda wake, kwasababu TEC ukiwaona upfront ujue wanaongelea maslahi ya taifa na wananchi, sio kama wale wenzetu ukiwaona upfront ujue wanaizungumzia TEC ! Uliwahi kusikia kiongozi wa TEC akizungumzia Islam
hata siku moja?
Wakati unaendelea kupambana na TEC na wadai haki…..by the time unakuja kuamka kwenye hiyo illusion ya amani bila haki …. Itakuwa umeshachelewa sana na hasara haitokuwa kwako tu but hata kwa taifa maana be assured that hata ufanye nini TEC will never stop kuzungumzia haki—— unajipotezea muda tu…

..haki ni independent variable na Amani ni outcome Yaani dependent variable , so Samia na team yako stop deluding yourselves hakuna kitu kinachoitwa amani kwanza kisha haki… huo ni UHUNI na UTAPELI hata mu cosmetic vipi
Wakati unapambana na wananchi wako , watu wanajenga nchi zao …. Endeleeni kuwa kwenye usingizi mzito

Heshima kubwa sana kwenu TEC , Sio muumini wa kikristo wala Islam but nina heshima kubwa sana na TEC …. Kama nikiambiwa kuchagua basi nitaenda TEC/Catholic

Dr Megalodon Mushi
Canada
Serikali haipambani na TEC bali TEC ndio inapambana na Serikali wacha uzwazwa wako uliojengeka kwa fikra za kikoloni.
 
Sisi siyo mazuzu,hapa inakuonesha wazi TEC walipambana haswa na nani
 
Attachments

  • Screenshot_2025-11-20-16-55-40-719.jpg
    Screenshot_2025-11-20-16-55-40-719.jpg
    132.6 KB · Views: 17
Kwa mfano, Shambulio la lissu… kuna muislam au mlokole au KKKT aliefungua mdomo? Ni TEC pekee ndio walitoa waraka upfront immediately. TEC ni foundations behind the human truth and Consciousness… you should clearly note that na machwa wako wanakupeleka shimoni
Mimi mwenyewe nashangaa....mtu kupambana na watu wema ina manisha nini?
 
Serikalinya samia haipambani na TEC

Serikali haipambani na TEC BALI TEC NDIO WANAPAMBANA NA SAMIA,alichofanya samia ni kuwaeleza TEC jambo hilo waziwazi,siwezi kujua atashinda nani,lakini huko mbeleni kutatokea mtanange wa hivi hivi pale rais atakapokuwa mkatoliki na hiyo dini nyingine itaingia vitani.Mungu atunusuru sisi wadogo tusiokuwa na mbele wala nyuma
Haijawahi kutokea waislam kupingana na Serikali hata ifanye dhuluma vipi. Hata enzi ya JPM , waislam walikuwa upande wa JPM

Tambua elimu ya kiislam sio elimu ya utambuzi wa akili . Ni elimu ya ubaguzi, kukariri na kusambaza chuki… ni total enslavement education system which undermine your mental capabilities

Utasikia Xmas ni ya makafiri…. Sasa mtu kama Huyu anaweza kuelewa maana ya Diversity na human differences?
So Muslims will never go against the rulling party hata wakiua watu 100 times

Ukitaka kugombana na Muslims , wapikie kitimoto, mseme vibaya Muhammad , sema kuoa mitara ni aina nyingine ya umalaya….. hapo wataanzisha vita

It’s all about mental realization
 
Back
Top Bottom