Makongodcrue
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,864
- 2,591
Umeshampigia kura as the THE MOST TRYANT OF THE YEAR 2025? Hii tuzo anabeba kwa 100%Mbona Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, Hana hata habari na TEC ila TEC ndo wenye habari nae! Kutwa kucha kazi ya kumshambulia tu. Amiri jeshi mkuu alishasema, "hakuna taasisi ya kidini inayoweza kuoverride serikali" basi akamaliza na yupo anaendelea na mishe zake. Ni nyie tu vidampa ndo mnahangaika ye alishaachana na nyie.
Mkuu kuandika kwenyewe kama ni hivi...utaweza kujibu hoja kwa ufasaha kweliPumba tupu, eti wanakariri bila kujua maana, nani kakwabia, ulivyo kua sio mfatiliaji hujui hata ni lini lugha ya kanisa katoriki ilibadilika kutona kilatino. Hao teki ni magaidi.
Sio wamemsema wanamsema waziwazi,unabisha nini,hili jambo liko waziwazi na wala sina haja ya kubishana na mtu,ukweli uko waziwazi,wewe ndio huna hata busara wala staha,angalia maandishinyangu yalivyo na heshima na staha,angalia lugha unayotumia wewe,unaweza kumshawishi nani kwa aina hiyo ya lugha?Ni wapi TEC wamemsema Samia, na wewe ni kadampa mwingine tu.
Nionyeshe ugaidi wa TEC ili nasisi tukuonyeshe shehe ubwabwa mkata vichwa nani gaidi?Pumba tupu, eti wanakariri bila kujua maana, nani kakwabia, ulivyo kua sio mfatiliaji hujui hata ni lini lugha ya kanisa katoriki ilibadilika kutona kilatino. Hao teki ni magaidi.
Umesoma alichoandika huyo niliyemquote, au umekurupuka tu.Sio wamemsema wanamsema waziwazi,unabisha nini,hili jambo liko waziwazi na wala sina haja ya kubishana na mtu,ukweli uko waziwazi,wewe ndio huna hata busara wala staha,angalia maandishinyangu yalivyo na heshima na staha,angalia lugha unayotumia wewe,unaweza kumshawishi nani kwa aina hiyo ya lugha?
Sizunguki.mbuyu nasemavwaziwazi TEC wanampiga vita samia na kuna kampeni ya waziwazi dhidi ya samia,mimi nayasema haya wala sio shabiki wa samia,simjui na wala yeye hanijui,siyo mwanachama wa ccm au chama chochote cha siasa lakini kwa kificho na kwa uwazi kuna vita Tec hawamtaki samiaUmesoma alichoandika huyo niliyemquote, au umekurupuka tu.
Sema TEC ni wapi walipomsema Samia, acha kuzunguka mbuyu
Hawamtaki kivipi, kusema tu hawamtaki haifanyi maneno yako kuwa kweli, eleza kwa facts, TEC hawamtaki Samia kivipi?Sizunguki.mbuyu nasemavwaziwazi TEC wanampiga vita samia na kuna kampeni ya waziwazi dhidi ya samia,mimi nayasema haya wala sio shabiki wa samia,simjui na wala yeye hanijui,siyo mwanachama wa ccm au chama chochote cha siasa lakini kwa kificho na kwa uwazi kuna vita Tec hawamtaki samia
Safi sanaNiliwahi kusema kuwa Samia amefeli kwenye kila idara ya uongozi na kwa sasa nchi haijulikani ina mission gani na inataka ku achieve nini!!
Kwa walioanza kuisikia TEC juzi, unaweza kuhisi ni kweli TEC inashida na Samia: but ni TEC hii hii ilipambana sana NGOSHA , ambapo Ngosha ni amelelewa chini ya malezi ya kikatoliki ila alipoanza Udikteta Uchwara, TEC walilala na JPM sahani moja mpaka kifo cha JPM, ilifika pahala JPM alikuwa frastuated sana na hawa jamaa zake mpaka hakujua nini cha kufanya. In his deathbed JPM alitubu kwa imani yake na kusema kuwa anatambua TEC ni taasisi imara kwa maslahi ya wananchi.
Kwa mfano, Shambulio la lissu… kuna muislam au mlokole au KKKT aliefungua mdomo? Ni TEC pekee ndio walitoa waraka upfront immediately. TEC ni foundations behind the human truth and Consciousness… you should clearly note that na machwa wako wanakupeleka shimoni
Ni upumbavu wa hali ya juu mtu kuamini kuwa TEC inashida na serikali ya sasa eti kisa ni muislam !! Hivi Samia ndio Rais pekee wa Islam kutokea TZ….?By the way hivi uislam unaleta ugali au matibabu?
Nadhan Samia ajifunze kwanza Composition ya TEC, TEC inachukuwa the cream brains na kuzi intergrate kwenye mifumo ya kidini. mfumo wa elimu ya kiislam ni madrasa ambao sio mfumo wa elimu ya utambuzi na self realization -imagine mtu anafundishwa kukariri kitu ambacho hata maana yake hajui but anajua kukisoma na kukariri Ila hajui maana yake.
Nadhani Samia ajifunze kwanza what is TEC na vita na TEC hatoiweza hadi anamaliza muda wake, kwasababu TEC ukiwaona upfront ujue wanaongelea maslahi ya taifa na wananchi, sio kama wale wenzetu ukiwaona upfront ujue wanaizungumzia TEC ! Uliwahi kusikia kiongozi wa TEC akizungumzia Islam
hata siku moja?
Wakati unaendelea kupambana na TEC na wadai haki…..by the time unakuja kuamka kwenye hiyo illusion ya amani bila haki …. Itakuwa umeshachelewa sana na hasara haitokuwa kwako tu but hata kwa taifa maana be assured that hata ufanye nini TEC will never stop kuzungumzia haki—— unajipotezea muda tu…
..haki ni independent variable na Amani ni outcome Yaani dependent variable , so Samia na team yako stop deluding yourselves hakuna kitu kinachoitwa amani kwanza kisha haki… huo ni UHUNI na UTAPELI hata mu cosmetic vipi
Wakati unapambana na wananchi wako , watu wanajenga nchi zao …. Endeleeni kuwa kwenye usingizi mzito
Heshima kubwa sana kwenu TEC , Sio muumini wa kikristo wala Islam but nina heshima kubwa sana na TEC …. Kama nikiambiwa kuchagua basi nitaenda TEC/Catholic
Dr Megalodon Mushi
Canada
Kama hayo madini na bandari wamepewa waarabu, waislam wa Tanzania wananufaike direct? Nijuavyo Mimi China na urusi hawafagilii udini, niambie jinsi watakavyowanufaisha waislam wa bongo!TEC ni wamissionale na kazi ya wamissionale ni kulinda masilahi ya Wazungu
Na mama amekata mirija ya Wazungu ndio maana unaona TEC wanahangaika
Bandali amepewa waarabu TEC wakaumia sana
Madini amepewa China na Urusi TEC wameumia sana
TEC walikuwa wanaihijumu nchi Kwa kutumia kivuli Cha dini na Sasa wameshachokwa inakatwa mirija Yao na mirija ya hao mabwana zao
Well said.Niliwahi kusema kuwa Samia amefeli kwenye kila idara ya uongozi na kwa sasa nchi haijulikani ina mission gani na inataka ku achieve nini!!
Kwa walioanza kuisikia TEC juzi, unaweza kuhisi ni kweli TEC inashida na Samia: but ni TEC hii hii ilipambana sana NGOSHA , ambapo Ngosha ni amelelewa chini ya malezi ya kikatoliki ila alipoanza Udikteta Uchwara, TEC walilala na JPM sahani moja mpaka kifo cha JPM, ilifika pahala JPM alikuwa frastuated sana na hawa jamaa zake mpaka hakujua nini cha kufanya. In his deathbed JPM alitubu kwa imani yake na kusema kuwa anatambua TEC ni taasisi imara kwa maslahi ya wananchi.
Kwa mfano, Shambulio la lissu… kuna muislam au mlokole au KKKT aliefungua mdomo? Ni TEC pekee ndio walitoa waraka upfront immediately. TEC ni foundations behind the human truth and Consciousness… you should clearly note that na machwa wako wanakupeleka shimoni
Ni upumbavu wa hali ya juu mtu kuamini kuwa TEC inashida na serikali ya sasa eti kisa ni muislam !! Hivi Samia ndio Rais pekee wa Islam kutokea TZ….?By the way hivi uislam unaleta ugali au matibabu?
Nadhan Samia ajifunze kwanza Composition ya TEC, TEC inachukuwa the cream brains na kuzi intergrate kwenye mifumo ya kidini. mfumo wa elimu ya kiislam ni madrasa ambao sio mfumo wa elimu ya utambuzi na self realization -imagine mtu anafundishwa kukariri kitu ambacho hata maana yake hajui but anajua kukisoma na kukariri Ila hajui maana yake.
Nadhani Samia ajifunze kwanza what is TEC na vita na TEC hatoiweza hadi anamaliza muda wake, kwasababu TEC ukiwaona upfront ujue wanaongelea maslahi ya taifa na wananchi, sio kama wale wenzetu ukiwaona upfront ujue wanaizungumzia TEC ! Uliwahi kusikia kiongozi wa TEC akizungumzia Islam
hata siku moja?
Wakati unaendelea kupambana na TEC na wadai haki…..by the time unakuja kuamka kwenye hiyo illusion ya amani bila haki …. Itakuwa umeshachelewa sana na hasara haitokuwa kwako tu but hata kwa taifa maana be assured that hata ufanye nini TEC will never stop kuzungumzia haki—— unajipotezea muda tu…
..haki ni independent variable na Amani ni outcome Yaani dependent variable , so Samia na team yako stop deluding yourselves hakuna kitu kinachoitwa amani kwanza kisha haki… huo ni UHUNI na UTAPELI hata mu cosmetic vipi
Wakati unapambana na wananchi wako , watu wanajenga nchi zao …. Endeleeni kuwa kwenye usingizi mzito
Heshima kubwa sana kwenu TEC , Sio muumini wa kikristo wala Islam but nina heshima kubwa sana na TEC …. Kama nikiambiwa kuchagua basi nitaenda TEC/Catholic
Dr Megalodon Mushi
Canada
Taifa kuwa na jamii yenye akili mfano huu wa Wazolee ni hatari na aibu kubwa.TEC ni wamissionale na kazi ya wamissionale ni kulinda masilahi ya Wazungu
Na mama amekata mirija ya Wazungu ndio maana unaona TEC wanahangaika
Bandali amepewa waarabu TEC wakaumia sana
Madini amepewa China na Urusi TEC wameumia sana
TEC walikuwa wanaihijumu nchi Kwa kutumia kivuli Cha dini na Sasa wameshachokwa inakatwa mirija Yao na mirija ya hao mabwana zao
Serikali haipambani na TEC bali TEC ndio inapambana na Serikali wacha uzwazwa wako uliojengeka kwa fikra za kikoloni.Niliwahi kusema kuwa Samia amefeli kwenye kila idara ya uongozi na kwa sasa nchi haijulikani ina mission gani na inataka ku achieve nini!!
Kwa walioanza kuisikia TEC juzi, unaweza kuhisi ni kweli TEC inashida na Samia: but ni TEC hii hii ilipambana sana NGOSHA , ambapo Ngosha ni amelelewa chini ya malezi ya kikatoliki ila alipoanza Udikteta Uchwara, TEC walilala na JPM sahani moja mpaka kifo cha JPM, ilifika pahala JPM alikuwa frastuated sana na hawa jamaa zake mpaka hakujua nini cha kufanya. In his deathbed JPM alitubu kwa imani yake na kusema kuwa anatambua TEC ni taasisi imara kwa maslahi ya wananchi.
Kwa mfano, Shambulio la lissu… kuna muislam au mlokole au KKKT aliefungua mdomo? Ni TEC pekee ndio walitoa waraka upfront immediately. TEC ni foundations behind the human truth and Consciousness… you should clearly note that na machwa wako wanakupeleka shimoni
Ni upumbavu wa hali ya juu mtu kuamini kuwa TEC inashida na serikali ya sasa eti kisa ni muislam !! Hivi Samia ndio Rais pekee wa Islam kutokea TZ….?By the way hivi uislam unaleta ugali au matibabu?
Nadhan Samia ajifunze kwanza Composition ya TEC, TEC inachukuwa the cream brains na kuzi intergrate kwenye mifumo ya kidini. mfumo wa elimu ya kiislam ni madrasa ambao sio mfumo wa elimu ya utambuzi na self realization -imagine mtu anafundishwa kukariri kitu ambacho hata maana yake hajui but anajua kukisoma na kukariri Ila hajui maana yake.
Nadhani Samia ajifunze kwanza what is TEC na vita na TEC hatoiweza hadi anamaliza muda wake, kwasababu TEC ukiwaona upfront ujue wanaongelea maslahi ya taifa na wananchi, sio kama wale wenzetu ukiwaona upfront ujue wanaizungumzia TEC ! Uliwahi kusikia kiongozi wa TEC akizungumzia Islam
hata siku moja?
Wakati unaendelea kupambana na TEC na wadai haki…..by the time unakuja kuamka kwenye hiyo illusion ya amani bila haki …. Itakuwa umeshachelewa sana na hasara haitokuwa kwako tu but hata kwa taifa maana be assured that hata ufanye nini TEC will never stop kuzungumzia haki—— unajipotezea muda tu…
..haki ni independent variable na Amani ni outcome Yaani dependent variable , so Samia na team yako stop deluding yourselves hakuna kitu kinachoitwa amani kwanza kisha haki… huo ni UHUNI na UTAPELI hata mu cosmetic vipi
Wakati unapambana na wananchi wako , watu wanajenga nchi zao …. Endeleeni kuwa kwenye usingizi mzito
Heshima kubwa sana kwenu TEC , Sio muumini wa kikristo wala Islam but nina heshima kubwa sana na TEC …. Kama nikiambiwa kuchagua basi nitaenda TEC/Catholic
Dr Megalodon Mushi
Canada
Hahahahahaaaa!Ni wapi TEC wamemsema Samia, na wewe ni kadampa mwingine tu.
Pole sana ndugu, mchawi ni bora kuliko Muuwaji. Damu za watu zinakaribia kuwapasua matumboHahahahahaaaa!
Pole sana ndg, najua tabu mnazopata katika kuushikiria unafiki
Sisi siyo mazuzu,hapa inakuonesha wazi TEC walipambana haswa na naniNiliwahi kusema kuwa Samia amefeli kwenye kila idara ya uongozi na kwa sasa nchi haijulikani ina mission gani na inataka ku achieve nini!!
Kwa walioanza kuisikia TEC juzi, unaweza kuhisi ni kweli TEC inashida na Samia: but ni TEC hii hii ilipambana sana NGOSHA , ambapo Ngosha ni amelelewa chini ya malezi ya kikatoliki ila alipoanza Udikteta Uchwara, TEC walilala na JPM sahani moja mpaka kifo cha JPM, ilifika pahala JPM alikuwa frastuated sana na hawa jamaa zake mpaka hakujua nini cha kufanya. In his deathbed JPM alitubu kwa imani yake na kusema kuwa anatambua TEC ni taasisi imara kwa maslahi ya wananchi.
Kwa mfano, Shambulio la lissu… kuna muislam au mlokole au KKKT aliefungua mdomo? Ni TEC pekee ndio walitoa waraka upfront immediately. TEC ni foundations behind the human truth and Consciousness… you should clearly note that na machwa wako wanakupeleka shimoni
Ni upumbavu wa hali ya juu mtu kuamini kuwa TEC inashida na serikali ya sasa eti kisa ni muislam !! Hivi Samia ndio Rais pekee wa Islam kutokea TZ….?By the way hivi uislam unaleta ugali au matibabu?
Nadhan Samia ajifunze kwanza Composition ya TEC, TEC inachukuwa the cream brains na kuzi intergrate kwenye mifumo ya kidini. mfumo wa elimu ya kiislam ni madrasa ambao sio mfumo wa elimu ya utambuzi na self realization -imagine mtu anafundishwa kukariri kitu ambacho hata maana yake hajui but anajua kukisoma na kukariri Ila hajui maana yake.
Nadhani Samia ajifunze kwanza what is TEC na vita na TEC hatoiweza hadi anamaliza muda wake, kwasababu TEC ukiwaona upfront ujue wanaongelea maslahi ya taifa na wananchi, sio kama wale wenzetu ukiwaona upfront ujue wanaizungumzia TEC ! Uliwahi kusikia kiongozi wa TEC akizungumzia Islam
hata siku moja?
Wakati unaendelea kupambana na TEC na wadai haki…..by the time unakuja kuamka kwenye hiyo illusion ya amani bila haki …. Itakuwa umeshachelewa sana na hasara haitokuwa kwako tu but hata kwa taifa maana be assured that hata ufanye nini TEC will never stop kuzungumzia haki—— unajipotezea muda tu…
..haki ni independent variable na Amani ni outcome Yaani dependent variable , so Samia na team yako stop deluding yourselves hakuna kitu kinachoitwa amani kwanza kisha haki… huo ni UHUNI na UTAPELI hata mu cosmetic vipi
Wakati unapambana na wananchi wako , watu wanajenga nchi zao …. Endeleeni kuwa kwenye usingizi mzito
Heshima kubwa sana kwenu TEC , Sio muumini wa kikristo wala Islam but nina heshima kubwa sana na TEC …. Kama nikiambiwa kuchagua basi nitaenda TEC/Catholic
Dr Megalodon Mushi
Canada
Mimi mwenyewe nashangaa....mtu kupambana na watu wema ina manisha nini?Kwa mfano, Shambulio la lissu… kuna muislam au mlokole au KKKT aliefungua mdomo? Ni TEC pekee ndio walitoa waraka upfront immediately. TEC ni foundations behind the human truth and Consciousness… you should clearly note that na machwa wako wanakupeleka shimoni
Haijawahi kutokea waislam kupingana na Serikali hata ifanye dhuluma vipi. Hata enzi ya JPM , waislam walikuwa upande wa JPMSerikalinya samia haipambani na TEC
Serikali haipambani na TEC BALI TEC NDIO WANAPAMBANA NA SAMIA,alichofanya samia ni kuwaeleza TEC jambo hilo waziwazi,siwezi kujua atashinda nani,lakini huko mbeleni kutatokea mtanange wa hivi hivi pale rais atakapokuwa mkatoliki na hiyo dini nyingine itaingia vitani.Mungu atunusuru sisi wadogo tusiokuwa na mbele wala nyuma
Mimi sijawahi ona wala sikia hata siku mojaUliwahi kusikia kiongozi wa TEC akizungumzia Islam