Serikali chini ya Samia mnapoteza muda kupambana na TEC, hamtoweza

Ameishiwa hoja huyo, kwa sasa Serikali Haramu inaendesha nchi kwa propaganda zisizo na kichwa Wala miguu, Yani ni kichwa Cha mwendawazimu. Tunaongozwa na wahalifu wanaovaa suti.
 
Peace be upon you.
 
Ila Samia na elimu yake duni hapaswi kujua nini cha kuongea na wapi

Massacre iliyofanyika kweli ulitaka TEC iongelee uchochoroni
Haya mambo mnachukulia poa sana

Baada ya massacre Rais anakuambia nguvu iliyotumika ni sahihi, anasema hajui watu wanataka haki gani , na wakija tena tutawapiga—- hivi in a very common sense , do you think Huyu mtu akili yake ipo sawasawa?
Ulitaka kwa kauli kama hizi TEC iongelee Kando?

Tambua kwa sasa nchi ipo chini ya jeshi la polisi na nchi inajiendesha kama gari bovu
 
Hii taarifa yako ni fake maana haina source
Pole,najua imekushtua,hiyo ikitoka kabla Samia hajawachamba TEC,na akathibitisha kuwa TEC wametoa matamko nane kipindi chake miaka minne tu
Hayo matamko ya mkapa siyo hata ya kukemea,ila ya viongozi waislam watu wanatokwa hadi povu
 
Vilaza safari hii wameingia kwenye vita ngumu sana ya kupigana na watu wanaoutumia akili, badala ya miguvu kama wao.
 
Vilaza safari hii wameingia kwenye vita ngumu sana ya kupigana na watu wanaoutumia akili, badala ya miguvu kama wao.
Define akili mlei
 

Attachments

  • FB_IMG_1742812769356.jpg
    34.4 KB · Views: 19
"Nadhan Samia ajifunze kwanza Composition ya TEC, TEC inachukuwa the cream brains na kuzi intergrate kwenye mifumo ya kidini"✍️💪👆⚡️🔥📌📍
 
TEC inapambana na Samia kwa sababu gani? Kwa sababu ni Muislam? Kama ni sababu hii basi itakuwa ni ya kipumbavu sana. TEC hawapambani na mtu, isipokuwa siku zote wamekuwa wakipambana kuona nchi yetu inaendeshwa kwa kuzingatia misingi ya Katiba, utawala bora, haki, nk.

Matamko yao yote yamejikita huko! Wamekemea kuhusu uhuni unaofanywa na serikali kwenye kuwanyima wananchi haki yao ya msingi kuishi, kuchagua na kuchaguliwa, dhuluma, rushwa, ufisadi, nk. Na haya masuala yametamalaki! Sasa kosa lao liko wapi?

Kukemea wizi wa kura, utekaji, mauaji ya wakosoaji wa serikali, nk ndiyo kupambana na Samia!! Kwa hiyo huyo Samia ndiye kiongozi wa haya maovu yote? Kama ni hivyo basi mapambano yaendelee mpaka pale haki itakapo patikana.
 
Umetaja neno akili,define akili,ukimaanisha TEC wanazo sana
Acha kuni quote na kunilazimisha kukujibu maswali ya kitoto. Nimeshakuambia that is none of your fvckin' business. Na ni vizuri pia mkaacha kuwashwawashwa.

Ni kama tu nyinyi mnavyoenda kukanyaga mafuta ya Mwamposa, mnapouziwa udongo, maji, mnapobebeshwa majini ya kuwalinda, nk. No one cares.
 
Kwahiyo Samia anagawa Mali tu?
 
Aisome THE BIG SHOW

Umeniacha hoi sana kwenye ukweli huu kuhusu uislamu (nanukuu)👇🏻

"....Nadhan Samia ajifunze kwanza Composition ya TEC, TEC inachukuwa the cream brains na kuzi intergrate kwenye mifumo ya kidini. mfumo wa elimu ya kiislam ni madrasa ambao sio mfumo wa elimu ya utambuzi na self realization. Hebu fikiri, hawa wenzetu waislamu wanafundishwa kukariri vitu dhahania ambavyo hata maana yake hawaijui lakini anafundishwa kuvisoma na kuvikariri hivyohivyo. Na wakati mwingine, uislamu hufundisha watu wao ukatili dhidi ya binadamu wengine (jihad) wakiamini kuwa kufa kwa kupigania dini yao ni utakatifu na wataenda ahera🤔🤔🤔...."

Hawa watu wanatakiwa kujua kuwa Roman Catholic ndiye mama na baba wa dini zote duniani ukiwemo Uislamu. Na Roman empire through Catholism, ndiyo inayo rule na kui - control dunia na ulimwengu...

Waislamu tulieni kama mnanyolewa, vinginevyo mtaanza kuingia misikitini na ndala na viatu na bila kutawadha...

Huwezi kupambana na baba mzazi wako halafu ukabaki salama kama ulivyo...
 
Wewe nawe unaongea maujinga tu, kwa kumkosoa ndio hawamtaki? Kama yeye na serikali yake hawataki haki acha akataliwe hata mimi sio TEC lakini simtaki
 
Shida kuna watu wanajifanya wamekuja leo Tanzania.

Unashindwaje kuwa kiongozi mzuri huku umezungukwa na mataasisi imara kama TEC.

Hii ina watu imara na bora wengi tu, shida viongozi wachache wanaendekeza ubinafsi.
Shida kubwa ni zero brain!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…