Serikali chini ya Samia mnapoteza muda kupambana na TEC, hamtoweza

Yesu na mitume wake wote walikufa vifo vya kikatili kwa sababu ya kutetea haki. TEC wanaishi mafunzo ya Yesu Kristo
 
Samia ana uwezo mdogo. Shoda kubwa amejizungushia watu wenye akili ndogo kinoma.

Ameshazinguana na umma na jumuoya ya kimataifa.

Kwasasa anajificha Jeshini.

Walivyo wapumbavu na huko kwenye vyombo vya dola wanataka aharibikiwe.

Anafikiri labda huko jeshini kuna maroboti, wakati ni binadamu.

Akijenga UDINI hata huko jeshini anakojificha, hakutakalika.

Your browser is not able to display this video.
 
... 'Banali amepewa waarabu TEC wakaumia sana.
Madini amepewa China na Urusi TEC wameumia sana'...

Kama mwananchi mzalendo wa Tz, ni jambo gani katika sentensi hizo mbili lililokufurahisha sana kutoka moyoni mwako hadi ukaja kuliongea hapa?
 
Kilitokea nini' Hadi hao watu 10,000 (kama mlivyoamua kusema TEC) wakauawa?!!!!
Chochote kilichotokea, hakukua na uhalali wala sheria inayoruhusu kupiga watu risasi. Mbaya zaidi mlituma hayo manyamera yenu yaende kuua watu wakiwa makwao.
 
Unazungukwa na mtu Kama waziri salum, nasikia Huyu muhuni ndio anakuambia Mama abdul kuwa atuambie tunataka haki gani , ndio anakuambia aseme nguvu iliyotumikq ilikuwa sawa …… hata neno Override alilitoq kwa Huyu muhuni kwenye story story zao

Dah
 
Na jitu tekaji kama Haji Omar Kheri elimu darasa la 3, linachojua ni wizi na kuua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…