Utajua mwenyewe utaifanyia nini hii hela ila ipo mfuko wa shati, hahaπ π π unataka nitekwe huko na JF nisionekane
Ah, nacheka kama fala hapa. Me ningezima redio nilaleJuzi namskiliza Times FM usiku kucha ni utapeli juu ya utapeli.
Sikiza hii
Triiing simu inaita kisha anakuja sauti ya kike " Baba tumepata ajali hapa Handeni baba yangu amekufa"
Nabii π "mwanangu weka mkono kifuani kwake nimuombee"
Binti " Hallelujah amemkaa "
Upuuzi mtupu π‘ wa watu mataahira.
Ukimsikiliza Kuhani Musa, Mwamposa na huyo kiboko ya wachawi katika shuhuda ambazo watu wanatoa kama una akili timamu huwezi kwenda huko kwa sababu ya utapeli unajionyesha kabisa
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
kuna mama mmoja hapa mikasa ubungo.. anauza sigara pembeni ...anamuamini huyo jamaa sio mchezo
PesΓ inatafutwaC. Nini Kifanyike?
Pesa inayokusanywa mahali hapa BUZA - MTAA WA LULENGE ni nyingi na wizi wa wazi. Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) na TAKUKURU chukueni hatua, kufanya upelelezi wenu na kuwasweka ndani hawa Manabii Wahuni. Hii ni filimbi ya kuiamsha serikali (WHISTLE BLOWER), na Andiko hili litabaki kama kumbukumbu na ushahidi kwamba Vyombo vya Serikali vilitahadharishwa kabla kwa lengo zuri tu la kuchukua hatua stahiki.
Umemaliza, watanzania lazima tuelewe maana ya uhuru wa kutoingiliwa ni pamoja na wewe kujiamulia mambo Yako binafsiUsihusishe serikali na vitu vya kipumbavu kila mtu amepewa akili hapo inategemea unaitumiaje akili uliyopewa,wanaoenda huko wameenda kwa ridhaa zao wenyewe wacha tu wapigwe
Kwahiyo unataka kusema wachina hawana akili? Uchina hata kukusanyika ukafanya maubili utawekwa ndani, unaambiwa nenda nyumbani kwako ukaombe unavyotaka na sio kukusanya watu.Usihusishe serikali na vitu vya kipumbavu kila mtu amepewa akili hapo inategemea unaitumiaje akili uliyopewa,wanaoenda huko wameenda kwa ridhaa zao wenyewe wacha tu wapigwe
Alafu mkongomani huyuHuyu Jamaa tushawasanua sana watu humu kwamba jamaa ni Tapeli ,yaani anafufua wafu ,yaani ukipiga simu hata uwe na ugonjwa gani utapona tu ,cha kushangaza hiyo namba muda wote ipo busy tu ,kwa kifupi anafanya usanii ,na tatizo letu sisi waTZ hatushirikishi ubongo easy sana kudanganywa.
πKwahiyo unataka kusema wachina hawana akili? Uchina hata kukusanyika ukafanya maubili utawekwa ndani, unaambiwa nenda nyumbani kwako ukaombe unavyotaka na sio kukusanya watu.
Mpaka lijae au hata robo wanaridhika?
HahaaaaaaaaJuzi namskiliza Times FM usiku kucha ni utapeli juu ya utapeli.
Sikiza hii
Triiing simu inaita kisha anakuja sauti ya kike " Baba tumepata ajali hapa Handeni baba yangu amekufa"
Nabii π "mwanangu weka mkono kifuani kwake nimuombee"
Binti " Hallelujah amemkaa "
Upuuzi mtupu π‘ wa watu mataahira.