BabuFey
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 1,659
- 2,913
Juzi namskiliza Times FM usiku kucha ni utapeli juu ya utapeli.
Sikiza hii
Triiing simu inaita kisha anakuja sauti ya kike " Baba tumepata ajali hapa Handeni baba yangu amekufa"
Nabii 😁 "mwanangu weka mkono kifuani kwake nimuombee"
Binti " Hallelujah amemkaa "
Upuuzi mtupu 😡 wa watu mataahira.