DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu hasa Wamalawi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Acha makasiriko,una roho ndogo,wewe ni mchoyo na mbinafsi.....hizo tabia mbaya ndio wewe wa kwanza kuwaongelea hao....kwa hiyo USITUFOKEEE
Sina haja ya kubishana na ww chenga chenga lkn kikubwa ujumbe ushafika na bila shaka utafanyiwa kazi.
 
Nchi hii wenye akili ya kutazama mbali wamebakia wachache na wewe ukiwemo!
 
kwani mtu kutoa dokezo Lake hapa jf ni kosa. Msiforce watu mfanane kimtazamo jmn. Hpa Pia ni mahali sahihi kabsa. Mambo mangapi yanaanzia jf halafu baadaye yanaclick na kufatiliwa na mamlaka husika?
Nashangaa! Mambo mangapi yalianzia hapa jf then mamlaka zikayafuatilia na kuyafanyia kazi?
 
No way....hakuna shida yeyote kuzaa na mmalawi au mkongo
Ww kama sio mmalawi basi ni mnufaika wa hao wamalawi, unawatumikisha nyumbani kwako kwa ujira mdogoooo ndio maana unawatetea hata kama wanavunja Sheria za nchi. Walipega vrz basi waache njaa ya kuja kutukombea vitu majumbani.
 
Mpo busy na Waafrika wenzenu huku Wahindi na Wachina mkiona sio wahamiaji haramu mkitumia kanuni za Carl Peters...
 
Pale Victoria Place na Tanzanite Park kumegeuka kuwa China ndogo. Wanaijeria wametapaakaa Masaki. Bata kila siku na haijulikani wanafanya shughuli gani.
 
Wanakuja na Achimwene hao kutoka Mbeya..Bongo kama New york mkuu..sisi tunaona bongo miyeyusho lakini kuna nchi vijana wakikaa maskani wanaota kuja Bongo..hasa hapo mjini Daslam...🤣
 
Nimeishi sehemu nyingi kwa Africa Lakini sijawahi kuona sehemu wana penda kufatilia Mambo yasiyowahusu Kama watu wa Tanzania ..!!

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana nikamwambia wewe uelewa wako ni mdogo sana na kama una Mme basi unampa tabu sana. Iko hivi:-
1. Hakuna mtu mwenye chuki na wamalawi kwa sababu hata shughuli wanazozifanya wabongo wenyewe hakuna anaezitaka( ulinzi mshahara 50k kwa mwezi.)
2.kwa udogo wako wa akili unasema African ni Moja, inaweza ikawa hivyo lkn isiwe hivyo, mipaka ni muhimu juzi kati hapa tulikua na mgogoro mkubwa sana na wamalawi na sizani kama mgogoro huo umekwisha, wanalitaka ziwa Nyasa kwa udi na uvumba( fatiliaga mambo ujue Dunia inavyoenda sio umekalia udaku tu) mpaka sasa tunavyoongea hatuwezi kujua wana mipango gani kuhusu hilo ziwa lkn sisi tunawaluhusu wanaoingia kiholera na mijitu kama nyie mnatetea hiyo kitu, wafuate utaratibu kama wanataka kuishi nchini.

Wakifuata utaratibu vyomba vinavhohusika inamaana vitakua na nafasi nzuri za kujua wanaingia nchini kufanya Nini na inakua rahisi kuwafutilia kama Kuna shida yoyote.

3. Unasema mipaka imewekwa na wazungu hivyo haina mana yoyote😅 'we si chizi kbs wa milembe'
Basi tutoe majeshi yote mipakani, vunja uhamiaji, toa Beria zote mipakani, watu waingie na kutoka wanavyotaka si ndio!!!? Africa si Moja? Wamalawi si weusi kama sisi? Warwanda si weusi kama sisi? Wasomalia si weusi kama sisi? Nk.nk sasa ya Nini tuwabanie? (Kwa akili zako lkn)

-kwa taarifa Yako hakuna watu wabaya kama majirani, acha kbs kuwachukia poa hata kama unaona hawana uwezo wa kukufanya chochote, watu wanaandaa mipango ya miaka 20 ijayo, wanawaza nitampita lini huyu kimaendeleo baada ya miaka 20 ijayo? Sasa wewe unatazama miguuni kwako tu...!🚮
-kama kwako una fansi ndeefu na geti kuuubwaaa (kama unalo lkn) umeliweka la kazi gani?🔓

4.Nenda congo hapo wanao watoa machozi ni kina nani? Si majirani zao? Unajua ilianzaje? Nakupa jibu- kuchukulia poa watu wanaoingia kiholera( watusi/banyamrenge).

KAMA MPAKA HAPO UTAKUA HUJAELEWA BASI WW HUTAELEWA TENA.
 
Moja kati ya idara dhaifu za serikali ni hii yabuhamiaji inayoonzwa na Huyu dada
 
Inawezekana wamalawi wanahamia kwa wingi.Lakini nadhani warundi ndiyo wamezidi.
Siku hizi tangu operation kimbunga iliyowarudisha Burundi, warundi wamekuwa wajanja sana.Wanaingia kimya kimya kabisa halafu hawakai mpakani Kigoma au Kagera au Katavi na wala hawafanyi ujambazi tena.Wanaogopa kurudishwa tena kwao.
Huwa wakiingia wanaenda mikoa ya katikati halafu wanaishi kimyakimya na kukaribisha ndugu zao mmoja mmoja.Kwa hiyo wamejaa Morogoro,Mbeya,Shinyanga,Mwanza nk.
 
Wanakuja na Achimwene hao kutoka Mbeya..Bongo kama New york mkuu..sisi tunaona bongo miyeyusho lakini kuna nchi vijana wakikaa maskani wanaota kuja Bongo..hasa hapo mjini Daslam...🤣
😂😂 Wafuate taratibu mkuu then mambo ya uhalifu waachane nayo
 
Mkuu watu wamelala hawana habari! Soon wataanza kumiliki ma- ardhi makubwa makubwa huko morogoro, Mbeya,shinyanga, mwanza nk. Kwanza chek maeneo wanayochagua kuishi yote ni potential area's. Wanatafuta nguvu ya kujipenyeza serikalini then imeisha hiyo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…