DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu hasa Wamalawi

DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu hasa Wamalawi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huna haja ya kujua hilo kwani halihusiani na mada! Mimi nazungumzia uvunjifu wa Sheria za nchi kwa wageni,uvunjifu wa maadili nk. Sasa wewe unanileta siasa Tena.

Kwani huko ng'ambo ukivunja Sheria za nchi kama kufanya uhalifu watakuacha kisa umeenda kutafuta maisha? Kwa hiyo wewe unataka nchi iwe kama choo Kila anaetaka kuingia na kutoka basi afanye atakavyo??

Vipi yani sijakusoma
Rushwa ndio iliyowafanya hao wako hapo, sio kingine.
 
Hongera mleta mada umetimiza wajibu Kwa nchi yako, pia hata kuanzia tangibovu mbezi, Kuna wamama wauza vitu njia ni nao ni wahamiaji haramu hata kama wanatafta riziki je wamefata taratibu.
Mkuu wabongo wengi vichwani hamna kitu. sasa kwa hiyo Mikasa niliyoandika hapo Kuna mtu anaona sio tatizo kwake. Vyombo vya Dola viamkeee!! Shauri Yao.
 
Wamalawi wameanza kuja tokea miaka ya 50 huko
Hyu jamaa atakuwa mtoto wa mama hajui life ikoje

Ova
Kwa akili Yako unadhani kuvuka border ndo kuyajua maisha? Watu tuko nchini kwetu na tunaishi vzr tu, ya Nini nikanyanyasike kwenye manchi ya watu huko ilihali Kila kitu kipo nyumbani??
 
mkuu upeo wako ni mdogo sorry kukuambia hivyo , usipende kujibu vitu vilivyo nje ya uwezo wa akili yako , unahisi kuna mtz wa kuua watu kule kitaya ?
Hao washazoea mada za kulana mbususu hakuna kingine wanachokijua
 
Ushajiuliza wanyakyusa waliopo malawi wameingiaje?

Kifupi mbeya tukuyu bidhaa nyingi tunapata malawi kwanza bei chee
 
Nimeishia chekechea mkuu vipi unataka uniendeleze???


Kwakuwa umeishia chekechea ninakupa pole pia ninakusamehe.

Ipo hivi; kila raia wa nchi hii ni mlinzi na anao wajibu kwenye jambo lolote la usalama wa.nchi hii kuanzia nyumbani kwake, mtaani, kata, tarafani, wilayani, mkoani hadi taifani.

Katika mtaa yupo balozi isitoshe yupo mwenyekiti wa serikali ya mtaa, yupo mtendaji, madiwani, wabunge nk, wote hao ni viongozi wanaotuzunguka, isitoshe kuna polisi na wahusika zaidi ni uhamiaji, sasa ulishindwaje kuwaripoti kwa wahusika wote hao hao wamalawi unaosema wameingia nchini bila kufuata sheria isitoshe ni wahalifu wa wizi??--- badala yake unakuja kutoa malalamiko humu jf kuhusu hao watu ikitambulika kwamba nchi yetu haipingi wageni wanaoingia kihalali, unajuaje kama hao wamalawi wameingia kihalali na wanavyo vibali vya kufanya kazi nchini kama hukuwaripoti kwenye vyombo husika??

Sisi watz ni tofauti sana na watu wa nchi zingine jirani na hii ni kasoro, wewe mtz nenda nchi yoyote jirani na ufanye hicho wanachofanya hao wamalawi (kunyanduana) na wizi wala hutadumu siku moja kabla hujakamatwa na kusakamwa kwasababu raia wenyewe watakuandama kabla ya vyombo vyao vya dola kuja kukushughulikia.

Watz tubadilike, kila raia ni mlinzi wa nchi kwa mujibu wa katiba na tuache kulalamika na tuchukue hatua kwani hii nchi ni yako ni yangu ni yetu sote.
 
Uhamiaji wanapaswa kutoa custom care namba ambayo mtu anaweza kuripoti moja kwa moja matukio kama hayo!
 
Sawa sawa! Lkn utofauti wa wamalawi na wageni wengine ni usitaarabu na utulivu! Mbona Kuna wageni wengi tu tunaishi nao huku lkn hawana noma kbs, wanajua kuishi na jamii vzr hata kama hawajichanganyi lkn matendo ya wizi na uharifu mwingine huwezi kuwasikia
Sio mpk mtu akabe uchochoron , hata hawa wenye majina ya utamu unakuta ndo hao hao wageni
 
Kama wanafanya kazi za halali kama hivyo angalau, lkn mambo ya kutuibia na kutufanya tuwe na wasiwasi na usalama wa biashara zetu sisi tutakula nao sahani Moja kama serikali wanawachekea
Kaz yoyote haiwi halali mpk watambulike na taasisi husika
 
Back
Top Bottom