DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu hasa Wamalawi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Unawaonea wivu hao wanaolala kitanda kimoja na wake zao au.....mimi mbona ninao Wamalawi 17 shambani kwangu, huu mwaka wa 4 sasa sijapata lalamiko lolote toka kwa wakazi wa pale shambani na hawa jamaa ni wachapakazi sana.
 
Unajua Kwa Nini tangu mwanzo nilikuwa nakujibu comment za kijingajinga?ndio size yako..

Huyo niliyemtag najua kiwango chake Cha akili ndio maana nikamwandikia nilichomwandikia hiyo comment uliyojibu sio size yako kaka
Umeandika Mambo mengi pumba tupu,,,
Nakusisitizia,Africa ni moja na binadamu wote ni sawa stop xhenophobia
 
Unawaonea wivu hao wanaolala kitanda kimoja na wake zao au.....mimi mbona ninao Wamalawi 17 shambani kwangu, huu mwaka wa 4 sasa sijapata lalamiko lolote toka kwa wakazi wa pale shambani na hawa jamaa ni wachapakazi sana.
Nimeshangaa sana huyu jamaa,ni MZUSHI na ANA CHUKI zisizo na maana
 
Ww kama sio mmalawi basi ni mnufaika wa hao wamalawi, unawatumikisha nyumbani kwako kwa ujira mdogoooo ndio maana unawatetea hata kama wanavunja Sheria za nchi. Walipega vrz basi waache njaa ya kuja kutukombea vitu majumbani.
Kwanza hata nje ya geti hawatokagi walivyo waadilifu,aje huko uswazi kukuomba Nini ?hizo dagaa ulizonazo na nyanya chungu tu hazikutoshi utakuwa na za kumpa mwenzio?Acha kukuza mambo
 
Mpo busy na Waafrika wenzenu huku Wahindi na Wachina mkiona sio wahamiaji haramu mkitumia kanuni za Carl Peters...
Kaka uwe na siku njema sana!Carl Peters katuweza Sana waafrica....Nchi imekaa waarabu,wahindi,wachina eti Leo black mwenzetu anafukuzwa?eti wanalitaka ziwa Nyasa ??
 
tabia fulani ya wivu wa kipumbavu

those are human beings wanatafuta maisha na ugali wa kila siku kama wewe na wengine

waache watafute kipato halali wasaidie kujenga uchumi wa TZ

waache
 
Kwanza hata nje ya geti hawatokagi walivyo waadilifu,aje huko uswazi kukuomba Nini ?hizo dagaa ulizonazo na nyanya chungu tu hazikutoshi utakuwa na za kumpa mwenzio?Acha kukuza ma

Unawaonea wivu hao wanaolala kitanda kimoja na wake zao au.....mimi mbona ninao Wamalawi 17 shambani kwangu, huu mwaka wa 4 sasa sijapata lalamiko lolote toka kwa wakazi wa pale shambani na hawa jamaa ni wachapakazi sana.
Wala wale!
 
Ujasili huo utoke wapi, ujanja nyuma ya keyboard, ukimwelekeza watasoma tu hapa.
Yap! Jf jukwaa kubwa sana, ya Nini nikapoteze muda wangu kuzunguka kwenye maofisi huko wakati wahusiku humu wapo?
 
Uraia pacha ukiruhusiwa tujiandae kisaikolojia kuwa na Raia wenzetu tusiofanana tabia
 
Nakwambia wewe ni mjinga yani kama hujaelewa na kusikia husikii Tena mpaka ulizibuliwe sikio lako la chini
 
Nakwambia wewe ni mjinga yani kama hujaelewa na kusikia husikii Tena mpaka ulizibuliwe sikio lako la chini
Kiwango chako Cha kupanic kwenye kudiscuss issue kinaweza saidia kupima IQ yako....Sign za mtu mwenye IQ mdogo ni kupanic na kutumia Lugha za matusi kwenye uwasilishaji wa hoja zake.
 
Serikali ya vijiji, kata, na mitaa ndo wakutupiwa lawama. Haiwezekani mtendaji wa kata, mitaa na vijiji wanashindwa kuzibainisha na kuzitambua idadi ya kaya na wanakaya wake. Kabla ya kuingia kwnye kitambulisho cha utaifa ingepaswa kitambulisho cha mkazi kitangulie na kipewe mkazo wa umuhimu, km wenzetu wanzanzibar wanavyofanya.

Serikali ya vijiji ikishirikiana na idara ya uhamiaji watakomesha hilo tatzo. Kule ngorongoro ziliwai kuvamia koo za wamasai toka Kenya na wasomali, shughuri za uwindaji haramu zilifanyika kwa viwango vya juu. Hawa wahamiaji tunaowapuuzia sasahv watakapokuja kufanya yale yasiyokubalika na sheria za nchi hii ndo tutajua tulikuwa tunafuga tatizo.

Watanzania pia tumekuwa si wazarendo, sio wenyedhamana ya uongoz ata wasiokuwa na dhamana ya uongoz. Wahamiaji haramu tunaishinao mitaa. Tunashindwa nn kutoa taarifa kwanye vyombo husika!
 
tabia fulani ya wivu wa kipumbavu

those are human beings wanatafuta maisha na ugali wa kila siku kama wewe na wengine

waache watafute kipato halali wasaidie kujenga uchumi wa TZ

waache
Kashupaza shingo huyo haelewi,,,Hawa ni aina ya watu waio na exposure
 
Kashupaza shingo huyo haelewi,,,Hawa ni aina ya watu waio na exposure
Uoga wa kipumbavu anao....

Yaani utashangaa kuna siku wanaweza jipanga wakachukua mapanga kabisa wakawachinja wanadamu wenzao sababu tu jiografia walizochora wakoloni

Yaani....

Kama wewe unafanya kibarua chako unapata chochote kwa ajili yako na familia yako,yanini umsababishie maumivu mwanadamu mwingine anaetafuta na yeye ugali wake aweze kuishi?

I really dont get all these shenanigans!

Ni mioyo mibovu na kutokua na kazi za kufanya wamebakia majungu yasiyo na maana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…