DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu hasa Wamalawi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kiwango chako Cha kupanic kwenye kudiscuss issue kinaweza saidia kupima IQ yako....Sign za mtu mwenye IQ mdogo ni kupanic na kutumia Lugha za matusi kwenye uwasilishaji wa hoja zake.
Kitendo Cha wewe kutoelewa athari za uhamiaji haramu hata baada ya kuelekezwa lkn umekomaza fuvu basi hustahili Tena kuelimishwa. Dawa ni kuzibuliwa tu hilo sikio lako. Wanawake watata na wabishi kwa sisi wataalamu tushajua kinachokusumbua
 
Wale wale wasiojua lolote!
-Basi hata majambazi wanatafuta ugali
-mafisadi nao wanatafuta ugali
-magaidi nao wanatafuta ugali
-vibaka na wezi nao wanatafuta ugali
Unaweza kukuta mtanzania ni msomi wa PhD lkn ni mjinga hamna mfano, yani wewe ugali utafutwe kwa njia yoyote hata kwa kuvunja Sheria za nchi? Uko serious kweli mkuu? Huoni shida kbs kwenye hilo?
 
Ndio maana tunaona sehemu sahihi za kufikisha ujumbe kwa wakubwa ni huku jf, hao wenyeviti, sijui kina nani nani ndio wanufaika wakubwa wa hao wahamiaji haramu. Haya unawapelekea taarifa kama hizi unategemea Nini?

Umesoma comment za wajuba wanao nufaika na wahamiaji haramu? umeziona hasira zao? Kuna mjuba mmoja anasema yeye anao kama 17 anawatumikisha mashambani huko sasa unaweza kukuta Hawa watanzania wenzetu ndio viongozi wenyewe ujue.
 
Huyo muhamiaji kafanya ujambazi gani?

Kafanya crime gani?

Kama kafanya crime ashitakiwe...lakini sio yeye kubadili jiografia kwenda pengine kutafuta riziki halali halafu wewe roho inakuuma

Kafie huko!

Tuseme kavunja sheria za nchi kwa kuvuka kipande cha ardhi,ni kazi yako kushika waliovunja sheria?Ni kazi ya serikali...wewe unaenda kuisaidia serikali kazi zake kivipi?

Is government paying you salary to do their work au ni wivu umekujaa?

Iache serikali ifanye kazi zake na isisaidiwe kwa lolote,ijisaidie yenyewe

Na kuvuka kipande cha ardhi kutoka sehem moja kwend ingine sio KOSA....ni haki ya mwanadamu kutafuta riziki tangu enzi na enzi za mababu...wewe babu yako alitoka Kenya kaja Tanzania miaka 400 iliyopita leo unajitia una haki sana

Wivu tu mwehu wewe!
 
Ooh mm naona hao wamalawi serikali iwaache sabb wanatupatia cheap labor yaan mm ninao wawili wanafanya kazi zangu kama matrekta na nawalipa pesa kiduchu ila wao wanaona ni nyingi sana..

Nashauri migration ikomae na WAchina na wahindi sabb hawa Wana kiburi hawamtaki kutawalika wakat wapo kwetu.. serikalin fukuzeni wachina na wahindi wamekuja kwetu afu wanatupelekesha ila hao wamalawi wachen tena ikiwezekana wapeni motisha wazidi kuletea ndugu zako tuzid kupata cheap labor.
 

😀 Acha kupenda kitonga mkuu
 
Wakianza kuwazingua wamalawi huko Tanzania basi na sisi watanzania tulioko Malawi tutaona cha mtema kuni. Kama hujui ni kwamba watanzania wamenawa mzuzu, Lilongwe na Blantyre wakifanya biashara rasmi na zisizo rasmi.

Watu wanamilikia maduka,wanalima ,umachinga bila vibali (business permit). Kutokana na mwingiliano tulionao kila upande unaweza kuathiri maslahi ya mwenzake vizuri tu. Tivumiliane tukitafuta pesa kwa maana sisi ni majirani wema.

From mzuzu with love😌.
 
Mpaka hapo nimegundua wewe ni mjinga na kama ulienda shule basi shule haijakusaidia kwa chochote
Mjinga ni wewe ulieenda shule ukakuta serikali imeweka mitaala ya propaganda ya wewe kutumia nguvu na akili zako na mali zako kuisaidia kazi zake

Ni upumbavu ulioje wewe kuacha kilichokuleta hapa duniani na kujigeuza mfanyakazi wa serikali wakati hujaajiriwa wala hutambuliki nao?

Jinga ni wewe unaacha kazi zako unaenda fanya kazi za serikali bila kuombwa au kulipwa

Kumbuka unatoa kodi mamilioni ya pesa kuipa serikali hiyo hiyo ifanye hizo kazi unazojifanya kwenda tena kuisaidia

Kingine hujui serikali sio wewe,serikali sio wanadamu wenzio,serikali ni kampuni inayoongozwa na wanasiasa wajinga kama ulivyo wewe

Kila mtu ajitegemee

Serikali inasema kila mtu ajitegemee ila yenyewe haijitegemei...halafu anaotekea mpumbavu kama wewe unaiweka serikali mbele zaidi ya wanadamu wenzio wasio na hatia yeyote

Mbwa wewe!
 
Eeeh Bora umwashe usingizini....
 
Mkuu tulitoka mzee wa fursa awamu ya pili sasa tuko awamu ya sita Tunafungua nchi.

Bado hujaelewa nilichokiandika tu?
 
Chapeni kazi,Hawa watu ambao hawajawahi kutoka hata nje ya mkoa anaoishi Wana vichwa vigumu sana
 
Hata hapa JF kuna wahamiaji haramu pia. Nadhani mmeona michango yao!

Hoja kuu ni kuwa wapo kinyume cha sheria au la!?

Sasa cha ajabu watu wanaunga mkono uvunjaji wa sheria.


Haikatazi kuwa mhamiaji, inakatazwa uhamiaji haramu.

Mbona wasomali na waithiopia wanakamatwa sana tu na watu wanaona ok, au kwa vile wao sio "waafrika" kiviile!?
 
WAMALAWI NI NDUGU ZETU WA DAMU, HAWANA TATIZO, KELELE WAZIFANYAZO MCHANA ZINAWEZA KUWA NA DB NGAPI ILI NEMC WAJE HAPO?, MWL JKN ALIWAAMINI SANA WAMALAWI NA WENGI WALIKUWA WATUMISHI SAFI NDANI YA IKULU 1970s,
N.b,wazingatie sheria tu inatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…