DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu hasa Wamalawi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
System inawajua vizuri ukiona wamewaacha ujue hawana madhara na hata hizo hela wanatafuta ni wanahangaikia tumbo huko kwao hawatarudisha hata sh moja. Waache wajenge nchi
Sawa lkn waache wizi na kumomonyoa maadili yetu basi.
 
Hao ukiwaona unaweza kufikiri ni watu wema, kumbe wana roho mbaya na ni wauaji kupita maelezo.
 

Attachments

  • Screenshot_20230511-111443.jpg
    54.2 KB · Views: 4
  • Screenshot_20230511-111451.jpg
    55.8 KB · Views: 4
"Binadamu wote ni ndugu zangu, Afrika ni moja"
 
Ni sahihi [emoji817] hilo la Kukaa wengi chumba kimoja hata mm nilishangaa aisee, yaani wanaume kwa wanawake unakuta wanalala chumba kimoja na mchana sasa watatembelewa na lundo la ndugu, mwananyamala tulishawahi kumpangisha mnyasa na hayo ndio niliyoyaona yaani ni vurugu tupu mpaka unabaki unajiuliza hii inawezekanaje
 
We umenielewa! Kama wamekuja kutafuta maisha ni jambo zuri lkn kutuletea vitamaduni vya kwao huko hapana aisee
 
Wachina, Wasomali, wahindi, wapakistan wamejaa hawana vibali, eewe unakkmaa na wamalawi
 

Kuna haja ya kudhibiti Wachina, Waarabu, Wahindi au Irani & Co. lkn siyo Waafrika wenzetu weusi, hawachukui wala kuharibu chochote kile!
 
Tuliofanya kazi ya sensa haya mambo tunayajua siku nyingi sana.
Kwa uzoefu wangu anzia Kunduchi, Tegeta, Bahari beach, Kondo & Ununio(hapa ndo site yao), haya maeneo yote yametapakaa wamalawi na hawana hata vitambulisho vya aina yoyote.
Niko na mshangao mno kwamba hivi hivi vyombo vya usalama viko wapi?, vipo kwa ajili ya kuficha madudu ya wakubwa km yule jamaa wa dodoma na mchepuko wake?
 
Wachina, Wasomali, wahindi, wapakistan wamejaa hawana vibali, eewe unakkmaa na wamalawi
Soma uelewe. Mie hao uliowataja sijawi ishi nao karibu hivyo sielewi mambo Yao lkn nao kama wanafanya Yale Yale vyombo vya Dola vifanye kazi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…