Serikali chukueni hatua Zanzibar inaharibiwa na ushoga

Unakosea uislamu unapinga vikali sana ushoga ,hakuna kitabu kinachopinga ushoga km Quran.
Kwahyo hakuna uhusiano kati ya uislamu na ushoga.
Katika takwimu bara la ulaya linaongoza kwa homosexual hapo utasemaje ni ukristo?
 
NYAKATI ZA MWISHO ZITAKUA KM ZA SODOMA NA GOMORA TARAJIA KUONA MENGI ZAIDI YA AYO MAJIRA AYA SIO RAFIKI.
 
Sasa tuseme uliona wanapewa hela halafu ukaona wanaenda na mzungu halafu ukaona mzungu anafanya nini huyo ,ebu fafanua halafu na kapicha asee.
 
If you are so stupid to value and protect your own culture(African), then let the western ones blossom and flourish
 
Siku zinakuja halitalisalia hata Jiwe mmoja.
Hapo ndipo kutakuwa na kilio na kusaga Meno.
 
shinyanga mashoga wengi tu
 
Inasikitisha sana mkuu
 
Kuna siku hapa niliuliza kuna nini kati ya uislam na mambo haya yakinyume na maumbile? Mdau mmoja akanijia juu kweli. Muda ambao nilikuwa tanga nilishangaa sana, TANGA ni mkoa pia wenye waislam wengi yaani vibinti vidogo mpaka wanawake waliolewa kufanya mapenzi haya kinyume na maumbile ni jambo la kawaida. Kuna mitaa au vijiji ambavyo mtoto wa kiume analindwa sana kuliko wa kike.

My opinion; Kama baba/mama wanafanya mapenzi yakufirina basi kwenye kizazi chake hapatakosekana shoga, kama sio mtoto basi wajukuu. Hii kitu ni laana
 
Una ushahidi wowote Tanganyika mishoga ya kisukuma telee na ya kichaga toweni kibanzi ktk jicho lako kishautizame boriti ktk jicho la mwenzako au na wewe miongoni mwao uliwajuwaje
Aisee
 
Unakosea uislamu unapinga vikali sana ushoga ,hakuna kitabu kinachopinga ushoga km Quran.
Kwahyo hakuna uhusiano kati ya uislamu na ushoga.
Katika takwimu bara la ulaya linaongoza kwa homosexual hapo utasemaje ni ukristo?
Ushoga hauna Dini

Ulaya wamewaachia tu sio kwamba ndio wanaongoza, uarabuni wapo kibao sema wanajificha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…