Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,355
- 4,476
Braza hao mashoga wote wa kizanzibari kama Kuna mkristu anyooshe mkono wote hao ni walewale ***** zaoBraza don't connect dots with Muslim, coz uslamu uko against hayo mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Braza hao mashoga wote wa kizanzibari kama Kuna mkristu anyooshe mkono wote hao ni walewale ***** zaoBraza don't connect dots with Muslim, coz uslamu uko against hayo mambo
Acha kazi km hujaolewa na wwNafanya kazi katika hotel moja uku Zanzibar aiseh mambo nayo yaaona kuhusu swala la LGBTQ ni swala la kutisha sana kwa kweli just imagine mzee wa miaka 60 anatembea na kijana wa miaka 25...before sikujua kama jamaa ni punga nikamuuliza je uyu uliyekuja naye ni baba yako ...alijibu hivi NO HE'S NOT MY FATHER...HE IS MY HUSBAND alikuwa ni mfaransa kiingereza ayuko poa aiseh mpaka sasa najitafuta nirudi mbeya maana ingawa ushenzi upo kila sehemu lakini nadhani uku Zanzibar imezidi sana ndugu zangu *
TUSALI SANA NDUGU ZANGUNI [emoji2969]....
Naona haelewiKusali sana ndio kupunguza ushoga?hiyo mbinu ishafeli kitambo mana hadi viongozi wa dini wanafukua na kufukuliwa mitaro vilivyo
Kuna MTU mzanzibar kaniambia watoto wao wa kiume kwa wale wanaojiweza wanakuja kulelewa bara kuwaepusha na tabia za kushoga.[emoji848][emoji2827] kwa wagalatiaNi sehemu pekee Tz ukiacha DSM unakutana na shoga mtaani hana wasiwasi.
Kiukeli nimesikitika sana,haiwezekani Mji wa maadili km huu unaharibiwa,vijana wa kizanzibari wanaharibika,wanajiuza kwenye mahotel kwa wazungu na waarabu.
Mbaya zaidi watu wengi wenyeji wanajua na wanachukulia kawaida.
SMZ naomba mchukue hatua Kali juu ya ufuska km huu.
Na haya mambo huwezi kuyakuta Pemba ni unguja ndio kuna upuuzi wa aina hii
Mambo yanafanyika adharani kwa anayeishi Zanzibar anaelewa ili haya mambo hayakubaliki.
Kuna MTU mzanzibar kaniambia watoto wao wa kiume kwa wale wanaojiweza wanakuja kulelewa bara kuwaepusha na tabia za kushoga.
Kuna MTU mzanzibar kaniambia watoto wao wa kiume kwa wale wanaojiweza wanakuja kulelewa bara kuwaepusha na tabia za kushoga.[emoji848][emoji2827] kwa wagalatia
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni ukweli ....Kuna MTU mzanzibar kaniambia watoto wao wa kiume kwa wale wanaojiweza wanakuja kulelewa bara kuwaepusha na tabia za kushoga.[emoji848][emoji2827] kwa wagalatia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna srory nilisikia kuna vijana wa kisukuma na kinyamwezi na kihaya uja uku then tamaa zinawaponza wanafirwa wakifirwa wanakuwa wanaona aibu kurudi nyumbani wanaishia uku Zanzibar kwahiyo wao wazanzibar huzani hata bara unaweza kutana na mashoga wa makabila hayo ambapo sio kweli🤣🤣🤣..shoga wa kichaga?kisukuma?hahahaa sijawaj sikia..
Kuna Shirika la KIKOREA huko Zanzibar linaitwa Good Neighbors,ndio linaloratibu Mashoga wote wanaotaka mabwana Wakorea,linawaunganisha Mashoga na Wakorea kisha hao Wakorea wanakuja Zanzibar wakijifanya Watalii kumbe wanakuja kufukua mitaro ya Mashoga wazanzibar
Kuna srory nilisikia kuna vijana wa kisukuma na kinyamwezi na kihaya uja uku then tamaa zinawaponza wanafirwa wakifirwa wanakuwa wanaona aibu kurudi nyumbani wanaishia uku Zanzibar kwahiyo wao wazanzibar huzani hata bara unaweza kutana na mashoga wa makabila hayo ambapo sio kweli
Hawa watalii kukimbilia Zanzibar Kunanitia mashaka sana. Inamaana Zanzibar Kuna fukwe za bahari nzuri KULIKO huko ulaya ?? Zanzibar Ina kitu gani Cha ziada kufanya watalii watiririke kwa wingi namna hiyo.?? Hizo ni projects za wazungu tu kutuletea uchoko na watu kuona ni kitu Cha kawaida.
Tunafurahia pato la taifa ila hatuoni kuwa tunaachiwa laana ya sodoma na gomora
Mkuu umejitahidi kuweka mizania sawa👍👌👏🆒💬Mnyonge Mnyongeni Haki Yake Mpeni
Tunapoleta mada ni vema tulete mada ili wengi wajifunze kutatua changamoto zinazotukabili maishani mwetu na si kubeza upande mmoja wa muungano uonekani kama hauna maana, hii haijengi na haina maslahi kwa yeyote. Kusema kwamba ETI ushoga umezidi Zanzibar hivyo serikali ichukue hatua kali ni kichekecho!! Kwa hiyo Bara hakuna ushoga hivyo serikali isichukue hatua? Ila Zanzibar tu. Inawezekanaje kuna ukweli kwamba Zanzibar ushoga umezidi,je ina maana bara ushoga haujazidi? Siuji unatumia kigezo gani kusema kwamba Zanzibar ushoga umezidi!!?
Twende kwa takwimu - hebu chukua idadi ya watu Tanzania nzima ikiwemo Zanzibar, halafu chukua idadi ya watu Zanzibar pekee. Idadi ya watu Zanzibar nzima inakaribia idadi ya watu wa mkoa mmoja tu Tanzania bara.
Ukichukua idadi ya mashoga wote waliopo Tanzania Bara kwenye maeneo yanayo trend sana ushoga hasa miji mikubwa na maarufu kama Dar, Mwanza, Arusha, Morogoro, Tanga, Mara na Dodoma ukijumlisha idadi yao utakuta ni kubwa mara nyingi zaidi kuliko mashoga wote walipo Zanzibar.
Tunapozungumza ushoga Zanzibar kwa kweli tunazungumiza Unguja maana ndipo penye idadi kubwa ya watu kuliko mjini wowote Zanzibar kama nchi, ni kweli ushoga umeenea hasa maeneo ya mijini na kwenye viunga vya mahoteli yanayotembelewa zaidi na watalii. Lakini si sahihi kusema kwamba Zanzibar kuna mashoga wengi kuliko bara. Zanzibar wanaonekana wengi kwasababu ni padogo hivyo wanajikuta wanabanana hapo hapo. Unguja ni mji ndogo hivyo kila mtu anamjua mwenzake - ni rahisi kujuana. Lakini bara mashoga ni wengi zaidi ila wametapakaa kwenye eneo kubwa mno kuliko Unguja hivyo si rahisi kuwaona wengi kwa uwazi.
Wateja wakubwa wa ushoga kwa Zanzibar/Unguja ni watalii na raia wa kigeni wakaazi, wakati wateja wengi wa ushoga bara ni wenyeji/wabongo na wageni wachache - lakini kuna idadi kubwa ya wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja wenyeji kwa wenyeji kwa idadi kubwa bara kuliko Zanzibar. Soko la ushoga Unguja linategemea watalii na raia wa kigeni zaidi lakini kwa bara soko la ushoga litagemea wenyeji - Kwahiyo wapi hapo ushoga umezidi? Tafakari
Tatizo la ushoga haliwezi kutatuliwa na serikali kwasababu ni tatizo la kimaadili sio la kihalifu. Ushoga ni tatizo la kimaadili kama ilivyo umalaya, ulevi wa pome na madawa, uvutaji bangi, uzinzi, uchezaji kamari, uvivu wa kutopenda kufanya kazi na kukaa vijiweni na kucheza pool muda mwingi, nk, haya ni matatizo yanayozalishwa na jamii, hivyo msingi wa ufumbuzi wake lazima uanzie kwenye jamii kama ngazi ya familia, nafasi ya viongozi wa kidini, n,k. Haya ni matatizo ambayo yameshaota mizizi kwenye jamii na chanzo chake ni mmomonyoko wa maadili, hivyo suluhisho lake ni wewe, mimi, familia, viongozi wa dini, wananchi na jamii kwa jumka kujenga maadili na si kunyoosheana vidole.
👌👍🆒Mkuu ungebadilisha kichwa cha habar aisee
Ungeandikia hivi " serikali ichukue hatua unguja inahariwa na ushoga " ukisema zanzibar unamanisha unguja + pemba
Usitutie katika janga hilo sisi wapemba mambo hayo wanayo hao dada zetu wa unguja hapo
Mkuu ni nikuulize asili ya wa unguja ni kina nani? Sio wasukuma na wanyamwezi?Hongera kaka, umetoa mzizi wa fitna, Zanzibar hakuna mashoga ndo maana wazanzibar haiwabughudi, wanajua mishoga wanayo ishughulikia ni misukuma na michanga. Jiangalieni vema, mirija itaziba kwa kufakamia kimba.
ni hatari kubwa.Ni sehemu pekee Tz ukiacha DSM unakutana na shoga mtaani hana wasiwasi.
Kiukeli nimesikitika sana,haiwezekani Mji wa maadili km huu unaharibiwa,vijana wa kizanzibari wanaharibika,wanajiuza kwenye mahotel kwa wazungu na waarabu.
Mbaya zaidi watu wengi wenyeji wanajua na wanachukulia kawaida.
SMZ naomba mchukue hatua Kali juu ya ufuska km huu.
Na haya mambo huwezi kuyakuta Pemba ni unguja ndio kuna upuuzi wa aina hii
Mambo yanafanyika adharani kwa anayeishi Zanzibar anaelewa ili haya mambo hayakubaliki.
Kuna MTU mzanzibar kaniambia watoto wao wa kiume kwa wale wanaojiweza wanakuja kulelewa bara kuwaepusha na tabia za kushoga.
Mkuu ni nikuulize asili ya wa unguja ni kina nani? Sio wasukuma na wanyamwezi?
ni hatari kubwa.
Laana ya Mungu ikishuka haichagui, wote wanaangamizwa kama Sodoma na Gomora.
Viongozi wanapaswa kuchukua hatua kukemea vikali na kuchukua hatua...kimyakimya.