Serikali chukueni hatua Zanzibar inaharibiwa na ushoga

Ushoga Zbar ruksa naamini hivyo hawalatazwii hataa
Hakuna anaeambiwa kufanya kitu kinyume na jamii ila ni jinsi tu unavyochukuliwa, wala husumbuliwi maana umejichagulia mwenyewe kuwa hivyo
 
Wewe vipi ni mmoja wapo au ni mmoja wao?
 
Ni sehemu pekee Tz ukiacha DSM unakutana na shoga mtaani hana wasiwasi.

Kiukeli nimesikitika sana,haiwezekani Mji wa maadili km huu unaharibiwa,vijana wa kizanzibari wanaharibika,wanajiuza kwenye mahotel kwa wazungu na waarabu.

Mbaya zaidi watu wengi wenyeji wanajua na wanachukulia kawaida.

SMZ naomba mchukue hatua Kali juu ya ufuska km huu.

Na haya mambo huwezi kuyakuta Pemba ni unguja ndio kuna upuuzi wa aina hii
Mambo yanafanyika adharani kwa anayeishi Zanzibar anaelewa ili haya mambo hayakubaliki.

Kuna MTU mzanzibar kaniambia watoto wao wa kiume kwa wale wanaojiweza wanakuja kulelewa bara kuwaepusha na tabia za kushoga.
Kuna mh anaitwa Ayubu kipindi Cha Dr SheIn alikuwa mkuu wa mkoa wa mjini Unguja basi akajifanya kuendesha operation kama hii ya Chalamila kukamata mashoga na malya, Kuna Shoga moja linaitwa Mauzinde maarufu sana Unguja demu wako haingii ndani kwa maneno , basi hilo shoga likakamatwa likatiwa ndani japo baadae lilikuja kutolewa na punde tu alipotolewa alimtolea maneno machafu sana yule mkuu wa mkoa na kumwambia Unguja kaikuta na ataiacha na kweli bwana muda mfupi yule mkuu wa mkoa alihamishwa kutoka mjini Unguja na kupelekwa Kusini shamba huko.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Huu mchezo hauhitaji hasira, umegusa kila idara bila kujali elimu cheo wala umri,
Sasa muelekeze huyo.mdini .
Marekani na magharibi yote inanuka ushoga,ila haoni,ulaya yote inanuka ushoga ila haoni anaona mabaibui ndo chanzo cha ushoga zanzibar.
 
Ni sehemu pekee Tz ukiacha DSM unakutana na shoga mtaani hana wasiwasi.

Kiukeli nimesikitika sana,haiwezekani Mji wa maadili km huu unaharibiwa,vijana wa kizanzibari wanaharibika,wanajiuza kwenye mahotel kwa wazungu na waarabu.

Mbaya zaidi watu wengi wenyeji wanajua na wanachukulia kawaida.

SMZ naomba mchukue hatua Kali juu ya ufuska km huu.

Na haya mambo huwezi kuyakuta Pemba ni unguja ndio kuna upuuzi wa aina hii
Mambo yanafanyika adharani kwa anayeishi Zanzibar anaelewa ili haya mambo hayakubaliki.

Kuna MTU mzanzibar kaniambia watoto wao wa kiume kwa wale wanaojiweza wanakuja kulelewa bara kuwaepusha na tabia za kushoga.
Halafu ukiwakuta wanavyo laani ushoga kwenye media!? Kumbe wao Ndio wafirji viongozi
 
Zanzibar sasa hivi ndio wameongezeka maradufu...vijana hawapend kufanya kaz
 
Lakini huko si sheria kali mpaka kipindi cha mfungo haturuhusiwi kula mchana na biashara za mitungi zinafungwa..[emoji3]

Btw, mara ya kwanza kufika Znz sikuamini kuona jumba limejaa magasho wanashindana kukata nyuno.
Zanzibar ni noma
 
Ila huko hawana vyama vyenu vya kutetea
Wanatetewa kuhusu haki zao za kiafya...Angalau wanadugyana mikundu wasiambukizane magonjwa! Kumbuka hata wawe wabaya kiasi gani bado ni Binadamu!
Kwa hiyo huko kwenu( ambako Ndio wengi) hamuwaoi hata vilainishi!
 
Ni sehemu pekee Tz ukiacha DSM unakutana na shoga mtaani hana wasiwasi.

Kiukeli nimesikitika sana,haiwezekani Mji wa maadili km huu unaharibiwa,vijana wa kizanzibari wanaharibika,wanajiuza kwenye mahotel kwa wazungu na waarabu.

Mbaya zaidi watu wengi wenyeji wanajua na wanachukulia kawaida.

SMZ naomba mchukue hatua Kali juu ya ufuska km huu.

Na haya mambo huwezi kuyakuta Pemba ni unguja ndio kuna upuuzi wa aina hii
Mambo yanafanyika adharani kwa anayeishi Zanzibar anaelewa ili haya mambo hayakubaliki.

Kuna MTU mzanzibar kaniambia watoto wao wa kiume kwa wale wanaojiweza wanakuja kulelewa bara kuwaepusha na tabia za kushoga.
Huko hata haishangazi

Hawajaanza leo, huko Zanzibar, Mombasa na pwani yote

Wenyewe wanaita mambo ya pwani, halafu ni Waislam wanaswali swala 5 lakini wanafanya Ushoga japo si wote

Wachafu sana hao
 
Back
Top Bottom