Serikali chukueni hatua Zanzibar inaharibiwa na ushoga

Serikali chukueni hatua Zanzibar inaharibiwa na ushoga

Hawa watalii kukimbilia Zanzibar Kunanitia mashaka sana. Inamaana Zanzibar Kuna fukwe za bahari nzuri KULIKO huko ulaya ?? Zanzibar Ina kitu gani Cha ziada kufanya watalii watiririke kwa wingi namna hiyo.?? Hizo ni projects za wazungu tu kutuletea uchoko na watu kuona ni kitu Cha kawaida.

Tunafurahia pato la taifa ila hatuoni kuwa tunaachiwa laana ya sodoma na gomora
zanzibari wanachokoana tu wenyewe, hata wazungu wasipokuja,wenyewe wanachokoana tu
wazungu ni added advantage
 
Kuna Shirika la KIKOREA huko Zanzibar linaitwa Good Neighbors,ndio linaloratibu Mashoga wote wanaotaka mabwana Wakorea,linawaunganisha Mashoga na Wakorea kisha hao Wakorea wanakuja Zanzibar wakijifanya Watalii kumbe wanakuja kufukua mitaro ya Mashoga wazanzibar
Umejuaje jaman, nitakuja nilitembelee hilo shirika. Hivi kuna wakorea warefu?
 
Kuna MTU mzanzibar kaniambia watoto wao wa kiume kwa wale wanaojiweza wanakuja kulelewa bara kuwaepusha na tabia za kushoga.[emoji848][emoji2827] kwa wagalatia

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona sasa hv huu mchezo ni kila mahali kwa kweli, watu wanafanya kwa siri sio Zanzbr tuu jaman, na kinachohitajika ni usiri tuu na nidhamu sio kila mtu ajue unachofanya.
 
Inawezekana.

Maisha ya kuishi huoni rangi za kike,nywele na urembo wao kazi kuona mibaibui tu 24/hrs lazima shetani wa hovyo akuingie.

Huku unaona kila kitu,ukichagua shoga umeamua mwenyewe.
Siku hizi tofauti na zaman unaweza usimtambue mtu wa hivyo, maana watu wanaficha sana hisia zao na hawavai ovyo labda wale wasiojitambua
 
Kuna srory nilisikia kuna vijana wa kisukuma na kinyamwezi na kihaya uja uku then tamaa zinawaponza wanafirwa wakifirwa wanakuwa wanaona aibu kurudi nyumbani wanaishia uku Zanzibar kwahiyo wao wazanzibar huzani hata bara unaweza kutana na mashoga wa makabila hayo ambapo sio kweli
Sio hayo tu makabila, sasa hv kila kabila wapo na kila mahali wapo jaman, msifikirie ni Znz tuu hata vijijini wapo,
 
Ni sehemu pekee Tz ukiacha DSM unakutana na shoga mtaani hana wasiwasi.

Kiukeli nimesikitika sana,haiwezekani Mji wa maadili km huu unaharibiwa,vijana wa kizanzibari wanaharibika,wanajiuza kwenye mahotel kwa wazungu na waarabu.

Mbaya zaidi watu wengi wenyeji wanajua na wanachukulia kawaida.

SMZ naomba mchukue hatua Kali juu ya ufuska km huu.

Na haya mambo huwezi kuyakuta Pemba ni unguja ndio kuna upuuzi wa aina hii
Mambo yanafanyika adharani kwa anayeishi Zanzibar anaelewa ili haya mambo hayakubaliki.

Kuna MTU mzanzibar kaniambia watoto wao wa kiume kwa wale wanaojiweza wanakuja kulelewa bara kuwaepusha na tabia za kushoga.
wao wanatubagua wabara, sasa hata kuwasaidia tutawasaidiaje? wache wapambane na hali zao huko, wanakula urojo wanaishia kufumuana, yet wanashinda msikitini wakiswali. ajabu kweli kweli.
 
Hawa watalii kukimbilia Zanzibar Kunanitia mashaka sana. Inamaana Zanzibar Kuna fukwe za bahari nzuri KULIKO huko ulaya ?? Zanzibar Ina kitu gani Cha ziada kufanya watalii watiririke kwa wingi namna hiyo.?? Hizo ni projects za wazungu tu kutuletea uchoko na watu kuona ni kitu Cha kawaida.

Tunafurahia pato la taifa ila hatuoni kuwa tunaachiwa laana ya sodoma na gomora
Zanzb ina vitu vingi maana kuna historia kuhusu soko la biashara ya utumwa, kwani watalii hawafiki Arusha au Kilimanjaro? Mbona nako hamsemi?
 
Maduka mengi hapa Zanzibar yapo majumbani mwao. Jana nimeenda dukani nikakuta kuna kisa cha kusikitisha sana.

Watoto wawili wadogo sana (miaka minne hivi) mmoja kamvua chuppi mwenzie kisha kamwambia ainame halafu anachokoa matakoni kwa vidole vyake vya mkononi
Unakuta wamejifunza kwa kuona kwa kaka zao
 
Kuna srory nilisikia kuna vijana wa kisukuma na kinyamwezi na kihaya uja uku then tamaa zinawaponza wanafirwa wakifirwa wanakuwa wanaona aibu kurudi nyumbani wanaishia uku Zanzibar kwahiyo wao wazanzibar huzani hata bara unaweza kutana na mashoga wa makabila hayo ambapo sio kweli
uliza hata Polisi yeyote aliyefanya mafunzo pamoja na wazanzibar, au wale wanaoenda chuoni zanzibar. wanasema kabisa huwa hawawachanganyi, inasemekana wazanzibar wanaambiwa wao wana utamaduni wa tofauti na siri iliyopo ni kwamba huwa wanakojoleana wakilala huko. ushoga zanzibar ni kitu cha kawaida ila wakiwa nje wanajifanya kuupinga na kuonekana watu wa dini. nani asiyejua kuwa mtoto wako ukiona anakua karibu na mpemba unatakiwa kuchukua hatua za ziada? nani asiyejua ufirauni wa wapemba? waarabu?

unasema wabara huja huko na tamaa zinawaponza, noooo, ninyi wenyewe mmezaliwa huko tamaa huwa zinawaponza kwasababu hamna cha kufanya. zanzibar maisha ni magumu zaidi ya bara, zanzibar hakuna ajira kuliko bara, zanzibar hakuna pesa kuliko bara, zanzibar wanalipwa mshahara mdogo kuliko bara. sasa mtu wa bara aje kufanya nini huko? wanaokuja wamesoma wameajiriwa kwenye mahoteli na biashara kubwa, ila akija kawaida mnamfukuza ati chogo arudi bara. yule askari firauni alikuwa anapumuliwa alikuwa wa bara? mlimfunga? amejirekodi kabisa na mmesema hana makosa, na kama hana hatia mbona mmemuondoa upolisi kwa aibu? askari mzima shoga?
 
Back
Top Bottom