Serikali chukueni hatua Zanzibar inaharibiwa na ushoga

Serikali chukueni hatua Zanzibar inaharibiwa na ushoga

Lakini huko si sheria kali mpaka kipindi cha mfungo haturuhusiwi kula mchana na biashara za mitungi zinafungwa..[emoji3]

Btw, mara ya kwanza kufika Znz sikuamini kuona jumba limejaa magasho wanashindana kukata nyuno.
Astakhafirullah...!
 
Wanatetewa kuhusu haki zao za kiafya...Angalau wanadugyana mikundu wasiambukizane magonjwa! Kumbuka hata wawe wabaya kiasi gani bado ni Binadamu!
Kwa hiyo huko kwenu( ambako Ndio wengi) hamuwaoi hata vilainishi!
Na wewe unasapoti?
 
Ni sehemu pekee Tz ukiacha DSM unakutana na shoga mtaani hana wasiwasi.

Kiukeli nimesikitika sana,haiwezekani Mji wa maadili km huu unaharibiwa,vijana wa kizanzibari wanaharibika,wanajiuza kwenye mahotel kwa wazungu na waarabu.

Mbaya zaidi watu wengi wenyeji wanajua na wanachukulia kawaida.

SMZ naomba mchukue hatua Kali juu ya ufuska km huu.

Na haya mambo huwezi kuyakuta Pemba ni unguja ndio kuna upuuzi wa aina hii
Mambo yanafanyika adharani kwa anayeishi Zanzibar anaelewa ili haya mambo hayakubaliki.

Kuna MTU mzanzibar kaniambia watoto wao wa kiume kwa wale wanaojiweza wanakuja kulelewa bara kuwaepusha na tabia za kushoga.
Hata afande rama alikutwa Hana hatia
 
Kama Binadamu licha ya kufuraba,bado wana haki za Msingi...hivi ikitokea mtoto wako ansgirwa utamkana! Haya mambo yanahitaji busara mkuu! Mungu arpushe mbali yasitukute
Sio kumkana tu na KUMKATAA MAZIMA.hakuna busara kwenye USHETANI.
 
Siku hizi tofauti na zaman unaweza usimtambue mtu wa hivyo, maana watu wanaficha sana hisia zao na hawavai ovyo labda wale wasiojitambua

Shoga hajifichi ni kama mtu anayeumwa na siafu sirini.
 
Haujui?na vyama wanavyo unajitoa ufahamu?

Kukandwa sijasema sehemu nyingine hawakandwi.

Nazungumzia sababu.eneo lenye sheria kali kama hapo zenj na uarabuni hali ni mbaya zaidi sababu wanawake hawaonekani.
 
Kukandwa sijasema sehemu nyingine hawakandwi.

Nazungumzia sababu.eneo lenye sheria kali kama hapo zenj na uarabuni hali ni mbaya zaidi sababu wanawake hawaonekani.
Kati ya israel na uarabuni wapi kumeenea ushoga zaidi?
 
Braza don't connect dots with Muslim, coz uslamu uko against hayo mambo
Sasa kama uko agaist kwanini huko ndio ushoga umeshamiri? Sijawahi sikia ushoga mara,mwanza ,mbeya na mikoa mingine isiyo na waislam wengi , ila mikoa yenye uislam ndio yenye ushoga anzia Zanzibar, owani ,tanga , mtwara, dar es salaam nk kwanini?
 
Back
Top Bottom