R.ip Magufuli.Serikali kupitia kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Mbarawa leo Jan. 30 imetangaza kukamilika kwa 100% kwa daraja la Tanzanite lililojengwa juu ya bahari kutoka Aga khan hadi Osterbay Jijini Dar Es Salaam na sasa magari yataanza kupita bure kuanzia Feb. Mosi mwaka huu.
Da Acha tu Mtu na NusuTunamshukuru sana Hayati Mhe. Magufuli. Huyu alikuwa mtu wa vitendo. Hakuwa na ubabaishaji. Asante sana Hayati Mhe. Magufuli kwa kukamilika kwa daraja hili la Tanzanite.
R.ip Magufuli.
R.i.p mzalendo wa kweli.
Legacy sio mzimu bali kadri muda unavyo enda ndivyo muda nao unaongea,Rip Magu.
Tunamshukuru sana Hayati Mhe. Magufuli. Huyu alikuwa mtu wa vitendo. Hakuwa na ubabaishaji. Asante sana Hayati Mhe. Magufuli kwa kukamilika kwa daraja hili la Tanzanite.
Tayari vijambio vinawapwita, Jakaya Kikwete amejenga daraja la kigamboni, Ifakara, airport terminal three, flyover aliacha jiwe la msingi na mengi mengi tu.Mpumzishe Kwa Amani Mjawako
Halafu kwa maendeleo yote hayo kuna wajinga wajinga wanawaza kuitoa CCM madarakani!!Tayari vijambio vinawapwita, Jakaya Kikwete amejenga daraja la kigamboni, Ifakara, airport terminal three, flyover aliacha jiwe la msingi na mengi mengi tu.
Hizo ni pesa za Watanzania hakuna hisani ya mungu wenu hapo.
Bwashee huyo Mungu kama anajielewa hawezi kumbariki muuaji.Mungu wa mbinguni mbariki Magufuli!
Wewe akili yako inawaza vyama mimi siko huko, hatufanani ujinga.Halafu kwa maendeleo yote hayo kuna wajinga wajinga wanawaza kuitoa CCM madarakani!!
Miaka 30 ofisi za makao makuu ziko uswahilini matola!
Hiyo terminal three kajenga Magu alikuta wajanja wamepiga pesa yote, yeye akatoa kimya kimya na akamwambia na hizi mzitafune, over!Tayari vijambio vinawapwita, Jakaya Kikwete amejenga daraja la kigamboni, Ifakara, airport terminal three, flyover aliacha jiwe la msingi na mengi mengi tu.
Hizo ni pesa za Watanzania hakuna hisani ya mungu wenu hapo.
Hebu tupunguze unafiki kidogo na huu unafiki nauona sana pale likitajwa iina la Magufuli, ilihali kila leo CM 1774858 mnaanzisha mada kuwa fulani katoa fedha why wengine na si huyu?.Tayari vijambio vinawapwita, Jakaya Kikwete amejenga daraja la kigamboni, Ifakara, airport terminal three, flyover aliacha jiwe la msingi na mengi mengi tu.
Hizo ni pesa za Watanzania hakuna hisani ya mungu wenu hapo.
Tunamuongelea aliyetangualia mbele za haki. Huyo unayemtaka bado yuko hai, aikondoka tutamwandikiaTayari vijambio vinawapwita, Jakaya Kikwete amejenga daraja la kigamboni, Ifakara, airport terminal three, flyover aliacha jiwe la msingi na mengi mengi tu.
Hizo ni pesa za Watanzania hakuna hisani ya mungu wenu hapo.
Kumbe umeelewa!Wewe akili yako inawaza vyama mimi siko huko, hatufanani ujinga.
Watafute Chadema muanze kushindania vyama vyenu, mimi si mtumwa wa Chama chochote.