Yamungu Athumani
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 1,384
- 3,254
Sasa kilicho kufanya Upanik na Kutusi wenzie nikipi hasaBwashee huyo Mungu kama anajielewa hawezi kumbariki muuaji.
Halafu huyo magufuli hakutoa hela yake ya msahahara kujenga hilo daraja. Ni kodi za walalahoi hizo. Jipongezenj wananchi acheni kusifia mizimu.
Msiwe wapuuzi. Mmesikia na nyie vibwengo wengine? Yamungu Athumani Koryo2 mwandende joseph1989
Ww Ishi na Fikra na Imani yako
huna Mamlaka yakumpangia mtu kipi Aandike humu JF