Serikali: Daraja la Tanzanite kuanza kutumika Feb 1, magari kupita bure

Bwashee huyo Mungu kama anajielewa hawezi kumbariki muuaji.

Halafu huyo magufuli hakutoa hela yake ya msahahara kujenga hilo daraja. Ni kodi za walalahoi hizo. Jipongezenj wananchi acheni kusifia mizimu.

Msiwe wapuuzi. Mmesikia na nyie vibwengo wengine? Yamungu Athumani Koryo2 mwandende joseph1989
Sasa kilicho kufanya Upanik na Kutusi wenzie nikipi hasa
Ww Ishi na Fikra na Imani yako
huna Mamlaka yakumpangia mtu kipi Aandike humu JF
 
Tayari vijambio vinawapwita, Jakaya Kikwete amejenga daraja la kigamboni, Ifakara, airport terminal three, flyover aliacha jiwe la msingi na mengi mengi tu.

Hizo ni pesa za Watanzania hakuna hisani ya mungu wenu hapo.
Najua watu wenye Mimba za chuki za Mwendazake ambazo hazitaki kukomaa hamuwezi kukosekana. Hata hizo project ulizo ziandika key player bado alikuwa Magu na ndio maana Kikwete alipogundua alifanya makosa kumtoa wizara ya ujenzi na kumpeleka uvuvi akamrudisha tena ujenzi na ndiyo waziri katika historia ya Tanzania aliyekuwa analala site.

So ukimchukia ww inatosha ila tupo wengi tunao mkubali kwani impact yake ni kubwa na tokea kuumbwa kwa dunia hajatokea binadamu aliye pendwa na kila mtu so si shagai.

So endelee kuitunza mimba yako ya chuki ya Mwendazake na nakuombea ujifungue.

RIP Magu muda unaongea.
 
Tayari vijambio vinawapwita, Jakaya Kikwete amejenga daraja la kigamboni, Ifakara, airport terminal three, flyover aliacha jiwe la msingi na mengi mengi tu.

Hizo ni pesa za Watanzania hakuna hisani ya mungu wenu hapo.
Kwani Umezuiwa Kumsifia Huyo Mtu
Acha chuki na Upuuzi kila mtu anajua yupi na nani Alifanya
 
hiyo mosi feb hamna umeme mnataka tuzame.

anyway. lina itwaje hilo daraja?
 
Bwashee huyo Mungu kama anajielewa hawezi kumbariki muuaji.

Halafu huyo magufuli hakutoa hela yake ya msahahara kujenga hilo daraja. Ni kodi za walalahoi hizo. Jipongezenj wananchi acheni kusifia mizimu.

Msiwe wapuuzi. Mmesikia na nyie vibwengo wengine? Yamungu Athumani Koryo2 mwandende joseph1989
Najua watu wenye Mimba za chuki za Mwendazake ambazo hazitaki kukomaa hamuwezi kukosekana.

So ukimchukia ww inatosha ila tupo wengi tunao mkubali kwani impact yake ni kubwa na tokea kuumbwa kwa dunia hajatokea binadamu aliye pendwa na kila mtu so si shagai.

So endelee kuitunza mimba yako ya chuki ya Mwendazake na nakuombea ujifungue.

RIP Magu.
 
Tayari vijambio vinawapwita, Jakaya Kikwete amejenga daraja la kigamboni, Ifakara, airport terminal three, flyover aliacha jiwe la msingi na mengi mengi tu.

Hizo ni pesa za Watanzania hakuna hisani ya mungu wenu hapo.
Kajenga kwa miaka mingapi?

Mnatumia nguvu nyingi kuaminisha watu .,kwamba msoga alikuwa Bora kuliko chato.
Kizuri kinaonekana hata kwa vipofu.

Legacy ya mtu inajitangaza haitangazwi..
 
Kajenga kwa miaka mingapi?

Mnatumia nguvu nyingi kuaminisha watu .,kwamba msoga alikuwa Bora kuliko chato.
Kizuri kinaonekana hata kwa vipofu.

Legacy ya mtu inajitamgaza haitangazwi..
Wengi niwale waliotumbuliwa vyeti feki [emoji3] au wengine walikuwa chawa sasa maboss wao waliondoka na maji hapo chuki lazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera Kikwete kwa mpango wa ujenzi wa daraja na kuanza kutafuta fedha toka Korea kusini lakini mpenda misifa aka mungu mtu kauteka nyara mradi na kujifanya yeye ndio mwenyewe.
Kama alivyofanya Daraja la tazara, ujenzi wa terminal 3 na daraja la ubungo.
 
Kajenga kwa miaka mingapi?

Mnatumia nguvu nyingi kuaminisha watu .,kwamba msoga alikuwa Bora kuliko chato.
Kizuri kinaonekana hata kwa vipofu.

Legacy ya mtu inajitamgaza haitangazwi..
Nyerere hakuwa na wapambe mitandaoni, kila kiongozi mema yake na kazi zake zinatambulika, huitaji kutumia nguvu na wapambe kuongelea mema ya awamu ya Mzee Mwinyi.
 
Hakika mkuu,,

Kizuri kitaonekana Tu,,
Hakuna haja ya kuwapamba watu mitandaoni.
 
Back
Top Bottom