Serikali: Daraja la Tanzanite kuanza kutumika Feb 1, magari kupita bure

Serikali: Daraja la Tanzanite kuanza kutumika Feb 1, magari kupita bure

Hongera Kikwete kwa mpango wa ujenzi wa daraja na kuanza kutafuta fedha toka Korea kusini lakini mpenda misifa aka mungu mtu kauteka nyara mradi na kujifanya yeye ndio mwenyewe.
Kama alivyofanya Daraja la tazara, ujenzi wa terminal 3 na daraja la ubungo.
Ukiingia kwa ndani kabisa, mwendazake alikuwa na sifa za kipuuzi mno.
 
Kwenye nchi ambazo kitengo kinafanya serious vetting huyo mtu wenu asingeruhusiwa hata kuchukuwa tu fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Urais.

Ukitaka kujuwa ubongo wake muulize Anthony Diallo.
Kitengo kilifeli mno, mtu mkabila mkatili sijui alipewa vipi nchi.
 
Kwan ina maana serikali wana mpango wa baadae watu kupita kwa kulipia?
 
R.ip Magufuli.
R.i.p mzalendo wa kweli.
Legacy sio mzimu bali kadri muda unavyo enda ndivyo muda nao unaongea,Rip Magu.
Tayari vijambio vinawapwita, Jakaya Kikwete amejenga daraja la kigamboni, Ifakara, airport terminal three, flyover aliacha jiwe la msingi na mengi mengi tu.

Hizo ni pesa za Watanzania hakuna hisani ya mungu wenu hapo.
Magufuli alitafuniwa na kulishwa Kama kinda la ndege. Miradi Jakaya alikwisha kamilisha kuanzia usanifu,fedha nk

Screenshot_20220130-163026.png


images.jpg
 
Akili za kimsukule hizi
So ukimchukia ww inatosha ila tupo wengi tunao mkubali kwani impact yake ni kubwa na tokea kuumbwa kwa dunia hajatokea binadamu aliye pendwa na kila mtu so si shagai.

So endelee kuitunza mimba yako ya chuki ya Mwendazake na nakuombea ujifungue.

RIP Magu.
 
Serikali kupitia kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Mbarawa leo Jan. 30 imetangaza kukamilika kwa 100% kwa daraja la Tanzanite lililojengwa juu ya bahari kutoka Aga khan hadi Osterbay Jijini Dar Es Salaam na sasa magari yataanza kupita bure kuanzia Feb. Mosi mwaka huu.
View attachment 2101108
View attachment 2101107

Halijajengwa juu ya bahari bali pembezoni mwa bahari.
 
Hilo la uko bure la kigamboni na hela ......mmerogwa nyie sio bure......dawa yenu dole ukikaa dole ukiinuka dole ukicheka dole ukivaaa sijui mzura dole sijui .......dole mpaka mkione.....
 
Tunamshukuru sana Hayati Mhe. Magufuli. Huyu alikuwa mtu wa vitendo. Hakuwa na ubabaishaji. Asante sana Hayati Mhe. Magufuli kwa kukamilika kwa daraja hili la Tanzanite.

Na inawezekana hatatajwa popote wala awamu ya tano wakati wa ufunguzi, hilo limekua tatzo sugu kwa tawala zetu hiiz za kiafrika
 
Back
Top Bottom