Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
- Thread starter
- #81
Unajua kuwa Kodi za Walala hoi kwasasa zinaliwa hadharani Kwa urefu wa Kamba!!?Bwashee huyo Mungu kama anajielewa hawezi kumbariki muuaji.
Halafu huyo magufuli hakutoa hela yake ya msahahara kujenga hilo daraja. Ni kodi za walalahoi hizo. Jipongezenj wananchi acheni kusifia mizimu.
Msiwe wapuuzi. Mmesikia na nyie vibwengo wengine? Yamungu Athumani Koryo2 mwandende joseph1989
Kuna rais wa wapi duniani anaye Jenga Kwa mshahara wake, mbona hamuishi kuwasifia??
Kukusanya Kodi ni jambo Moja na kuzitumia vizuri hizo Kodi ni jambo la pili ambalo wengi linawashinda.
Na hata kukusanya hizo Kodi nako kunahitaji akili la sivyo utaanzisha tozo za kipuuzi ukachukiwa bure na watu wako.