Tunamshukuru mama Samia Suluhu Hassan kwa kukamilisha mradi kikamilifu.
Kule Zanzibar Karume alianza ujenzi wa Maghorofa ya watu wa hali ya chini, lakini alipouwawa Marais wote waliofuatia waliachana na mradi huo mpaka mwanaye alipokuja kuupata Urais ndio akakamilisha mradi aliouanza Baba yake.
Hata Magufuli aliukataa mradi wa Bandari ya Bagamoyo ambao aliuanza Kikwete.
Vivyo hivyo Mama ana mamlaka kamili ya kukataa miradi aliyoikuta kama haina tija kwa mtazamo wake.
Mfano Airport ya Chato ndio ingekuwa inaanza ujenzi huo mradi ungepigwa chini on the spot, ni mradi wa hovyo usiokuwa na tija kwa Taifa letu zaidi ya ubinafsi wa Magufuli.