Serikali: Daraja la Tanzanite kuanza kutumika Feb 1, magari kupita bure

Serikali: Daraja la Tanzanite kuanza kutumika Feb 1, magari kupita bure

Vilivyobakia kumalizwa sasa hivi vinadema dema. Kuisha haviishi.

Sasa hivi tuna kazi ya kukopa lakini kinachofanyiwa mikopo hiyo hatukioni, baraka ya makongamano ya kusifiana na kuvalishana uchifu hewa.
SGR Dar Es Salaam ~Morogoro Inademka Tu Muda Ukiongezwa Kila Muda
 
Hili daraja linaenda kuiumbua serikali. Kwa kuwa linaenda kwa wenye pesa na wakubwa litalipiwa kwa kodi za wananchi. Lakini la Kigamboni (Nyerere Bridge) wamelifungafunga na kudai watu 1500 kwa kila gari.

Hii ni double standard ya hali ya juu sana. Naamini siku watakuja watu wenye akili watavunja ule uchafu uliofungwa kule daraja la Nyerere kuelekea Kigamboni.

Kuwa mtanzania kisha ukawa na akili unaweza kutamani kukimbia hii nchi. Maamuzi ya viongozi always yanakuwa na walakini na matokeo hasi kwa mwananchi.
 
Tayari vijambio vinawapwita, Jakaya Kikwete amejenga daraja la kigamboni, Ifakara, airport terminal three, flyover aliacha jiwe la msingi na mengi mengi tu.

Hizo ni pesa za Watanzania hakuna hisani ya mungu wenu hapo.
Daraja la kigamboni kamalizia Magufuli.

Flyover zote kajenga Magu. Jk itakua aliacha michoro tu.

Terminal 3 kaipambania Magu.

Sema jingine.

Awamu ya nne sikatai Richmond na Epa.
 
Tayari vijambio vinawapwita, Jakaya Kikwete amejenga daraja la kigamboni, Ifakara, airport terminal three, flyover aliacha jiwe la msingi na mengi mengi tu.

Hizo ni pesa za Watanzania hakuna hisani ya mungu wenu hapo.
Ww mbona unateseka
 
Alisema kajenga kwa hela za ndani kumbe wamekopa bilion 58
Mnaacha kulaumu wanaokopa ili wapige ela mifukon , mnakomalia walisimamia ela ziende sehemu husika, hapa napata jibu kwnn SSH hana huruma na nyny mbuz , bei zipande hajisumbui , Tozo pia hajisumbui , masoko yaungue hajisumbui , polisi wawaue hajisumbui na muitwe magaidi hajisumbui hata ela za miradi zikipigwa hajisumbui , maana hamuna fadhila mbw nyny , mzee wa wat hata alikubal wanawe wasome shule za maskin kuonesha usawa ila mmekosa point mmeamia kwny airport ya Chato , shubamitttt
 
Nchi ngumu sana hii mkuu.
 
Mkuu pole sana yani unaonesha una matatizo mengi sana ya kisaikolojia na ya kifamilia....Mbona unateswa sana na maiti? Mkuu una shida ya akili sio bure nimenotice
Hakuna kitu kibaya kama chuki ukijaza sana chuki moyoni utakuja kuwa mchawi siku Moja.

Ndio tatizo la huyu jamaa.
 
Serikali kupitia kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Mbarawa leo Jan. 30 imetangaza kukamilika kwa 100% kwa daraja la Tanzanite lililojengwa juu ya bahari kutoka Aga khan hadi Osterbay Jijini Dar Es Salaam na sasa magari yataanza kupita bure kuanzia Feb. Mosi mwaka huu.

Mama angeliwekea Tozo pia maana Pesa iliyotumika pale ni ndefu sana
 
Ngoja tutafute mradi mwingine useless lakini unang'aa tuufanye.
 
Baada ya millardayo na Msigwa na mitandao mbalimbali kupost kukamilika daraja za surrender 100% ya comment zinampongeza kumlilia na kumkumbuka Mwana mwema wa Afrika mkombozi wa kweli aliyepata kuishi R.I.P J.P.M
 
Corticopontine na Nigrastarata wamepatwa na severe form of Depresssion.

Alaaniwe amtegemeaye mwanadamu
 
Back
Top Bottom