Kuhimilika sio ishu.Si bado linahimilika?
Kwao wao kuhimilika ndiyo hoja yao! Na baada ya hapo wanafisadi hizo hela kwa mujibu wa CAGKuhimilika sio ishu.
Ni hicho kinachokopwa kinaenda wapi?
Balaa!Kwao wao kuhimilika ndiyo hoja yao! Na baada ya hapo wanaifisadi hizo hela kwa mujibu wa CAG
Bila shaka bado tutaweza kopa 108 trl. Ili kufikia ukomo.ama ?Si bado linahimilika?
Mama amon nimemiss maandiko yako nikipitia nashindwa view profile yakoWachumi wanakubaliana na debt servicing strategy iliyopo? Mie siikubali. Bajeti yetu ni trillions 50 lakini deni trilioni 100. Hapo kuna usalama wa nchi kweli? Hakuna! Hebu tupaze sauti.
Hili inamaana wana sisiemu wenzetu haliwahusu🤣🤣🤣🤣🤣 No reform No Election itungwe sheria kudhibiti ukopajiKutoka kwa Prof. Kitila akiwa bungeni muda huu amesema,
Hadi kufikia Machi 2025, deni la Taifa lilifikia Sh107.7 trilioni kutoka Sh91.7 trilioni katika kipindi kama hicho mwaka 2024 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 14.9.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo ameyasema hayo leo Juni 12, 2025 wakati akiwasilisha bungeni taarifa ya hali ya uchumi kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2025/2026.
Profesa Mkumbo amesema kati ya kiasi hicho deni la ndani lilikuwa Sh34.76 trilioni pekee.
“Ongezeko la deni lilitokana na Serikali kuendelea kupokea mikopo mipya kutoka vyanzo mbalimbali kwa ajili ya kugharamia miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya barabara, reli, viwanja vya ndege, umeme na maji,” amesema.
Makusanyo halisi huwa ni Trn ngapi kutoka kwenye hiyo 50Trn?Wachumi wanakubaliana na debt servicing strategy iliyopo? Mie siikubali. Bajeti yetu ni trillions 50 lakini deni trilioni 100. Hapo kuna usalama wa nchi kweli? Hakuna! Hebu tupaze sauti.