The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,147
- 20,080
Wengi wao hawana ndugu wala watoto. Ndugu zao wate walishakufa kutokana na umaskini na wao wenyewe wamehasiwa ili wawe Mazombie ya Lumumba!!Shida ya upeo wako inahisi ukicomment hivyo unawamesha watu humu jf.
Bika kufikiri kizazi chako kijacho na nduguzo watesekao
Mambo yanayoendelea utadhani hili taifa ukomo wake ni miaka kumi mbele, ile hali uhai wa taifa ili ni miaka mingi sana mbele, Nyerere leo angeweka greed mbele sidhani hata kama izi mbuga za wanyama tungezikutawazee wa nchi hii fanyeni jambo kuliokoa Taifa, ohhooo shauri yenu.
😁😁😁Hii Nchi isipouzwa itakuwa ajabu sana
😁😁😁Halafu jamaa anasema 71% ya watanzania wanasema nchi Ina mwelekeo mzuri. Data za kichawa kumfurahisha chawa
Ndio na pia bado tunakopesheka...Si bado linahimilika?
ZanzibarKuhimilika sio ishu.
Ni hicho kinachokopwa kinaenda wapi?
Sio serikali kuendelea kupokea, ni serikali kuendelea kukopa.Kutoka kwa Prof. Kitila akiwa bungeni muda huu amesema,
Hadi kufikia Machi 2025, deni la Taifa lilifikia Sh107.7 trilioni kutoka Sh91.7 trilioni katika kipindi kama hicho mwaka 2024 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 14.9.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo ameyasema hayo leo Juni 12, 2025 wakati akiwasilisha bungeni taarifa ya hali ya uchumi kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2025/2026.
Profesa Mkumbo amesema kati ya kiasi hicho deni la ndani lilikuwa Sh34.76 trilioni pekee.
“Ongezeko la deni lilitokana na Serikali kuendelea kupokea mikopo mipya kutoka vyanzo mbalimbali kwa ajili ya kugharamia miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya barabara, reli, viwanja vya ndege, umeme na maji,” amesema.
Tuendelee kukopa. Kenge hasikii mpaka atoke damu masikioni!Ndio na pia bado tunakopesheka...
zitto junior ...Wachumi wanakubaliana na debt servicing strategy iliyopo? Mie siikubali. Bajeti yetu ni trillions 50 lakini deni trilioni 100. Hapo kuna usalama wa nchi kweli? Hakuna! Hebu tupaze sauti.
Narudia sio lazima mtu akutukane akuambie we Kumah...unaweza kutukanwa kwa njia nyingi kama hivi
Sio jambo la kubisha tenaNchi itauzwa in Ndugai voice