Hii Nchi inahitaji Katiba Mpya!!.
Tunabunge la kipuuzi.
Imagine, Ndani ya Miaka 4 tu ya Samia kakopa Zaidi ya Trillion 43+ , Kwa Kasi yake ya ukopaji kuanzia Mwezi March 2024 mpaka March 2025 kakopa Trillion 16.
Kwa hesabu hii ya Trillion 16 Kila Mwaka maana yake kufikia 2030 ambayo Samia kaapa Kwa Damu na Jasho kuendelea, Deni la Taifa Litafikia Trillion 187.7 pengine Kwa kuzingatia Mabadiliko ya Thamani ya Shilingi yetu dhidi ya Dola, Deni linaweza kugonga Trillion 200.
Hivi kweli kabisa, hata kama ndio kulamba Asali, Asali ni tamu, Sawa !! Kweli kabisa huko Dolani hamna MTU wakusimama kuitetea Nchi hiii?? Hamna MTU wakusimama aseme "Hapana, mwelekeo Huu sio?".
Daahhhh Nchi inatia Hasira sana hii!!