Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Usiwe na haraka, utachanganyikiwa tu, zamu yako bado......Nahis kuchanganyikiwa
Usiwe na haraka, utachanganyikiwa tu, zamu yako bado......Nahis kuchanganyikiwa
The plan this year is 15 TrillionWachumi wanakubaliana na debt servicing strategy iliyopo? Mie siikubali. Bajeti yetu ni trillions 50 lakini deni trilioni 100. Hapo kuna usalama wa nchi kweli? Hakuna! Hebu tupaze sauti.
Kwa mtu ambaye hajaenda Zanzibar (Unguja) miaka miwili leo akienda atashanga sana mabadiliko ya miundo mbinu. Mikopo imejenga kila sehemu Unguja.Kuhimilika sio ishu.
Ni hicho kinachokopwa kinaenda wapi?
Watasema TRA imekusanya trilioni 200 second quoter, nipesa zs ndani.Mwezi huu tu wamevuta sehemu B 759+
Natamani nikupe litusi kubwa ila acha nikuvumilie tuKopa tu mama, kazi zinaonekana
Iwe!Natamani nikupe litusi kubwa ila acha nikuvumilie tu
A wake up call kwa wafanyabiashara kutunza fedha zao sehemu salama.Wakilazimisha kufanya uchaguzi bila reforms kuna kibano cha kuzuia misaada na mikopo kinakuja.
Hapo ndo mishahara ya Watumishi wa Umma na Wanajeshi itachelewa kulipwa na wengine kushindwa kupata mishahara maana ni lazima walilipe hili deni kila mwezi kwa kutumia makusanyo ya ndani.
Wakigoma na kudefault ndo nchi itaingia kwenye economic crisis moja kw moja.
Sekta ujenzi iko hoi Wacheck TanroadWakuu hii kopa kopa mbona hatuoni hio maradi ya maendeleo tangible huku mitaani?
Dar tu hapa ambapo ndio kama kioo cha Nchi miradi ya Ujenzi wa barabara za udart inasua sua kweli kweli au izo hela zinakuwa transferred kwenye offshore account uko na zinafanya project za kisiasa ambazo zinalinda watawala?
Pesa nyingi wanachukua ibirisi wa ccm kwa njia haramu za kishetani wanazitumia kuidhoofisha chademaKutoka kwa Prof. Kitila akiwa bungeni muda huu amesema,
Hadi kufikia Machi 2025, deni la Taifa lilifikia Sh107.7 trilioni kutoka Sh91.7 trilioni katika kipindi kama hicho mwaka 2024 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 14.9.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo ameyasema hayo leo Juni 12, 2025 wakati akiwasilisha bungeni taarifa ya hali ya uchumi kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2025/2026.
Profesa Mkumbo amesema kati ya kiasi hicho deni la ndani lilikuwa Sh34.76 trilioni pekee.
“Ongezeko la deni lilitokana na Serikali kuendelea kupokea mikopo mipya kutoka vyanzo mbalimbali kwa ajili ya kugharamia miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya barabara, reli, viwanja vya ndege, umeme na maji,” amesema.
Amos makala IGP Bashungwa na chawaccm wamekomba pesa zote kwa kazi ya kuihujumu kuudhofisha chadema na pesa nyingi wanagawana kienyeji, mateso manyanyaso kwa chadema ni fursa ya kutajirika kwa Amos makala na vikundi vyakeSekta ujenzi iko hoi Wacheck Tanroad
Cha kwanza wasome Alibadiri kubwa kwa ibirisi wa ccm wanaoifirisi Nchi sasa akina Amos makala na vikundi vyao haramu vya kishetaniwazee wa nchi hii fanyeni jambo kuliokoa Taifa, ohhooo shauri yenu.
ibirisi wa ccm wanaifirisi Nchi kwa vitendo haramu vya kishetaniWengi wao hawana ndugu wala watoto. Ndugu zao wate walishakufa kutokana na umaskini na wao wenyewe wamehasiwa ili wawe Mazombie ya Lumumba!!
Pesa nyingi anakula Amos makala na vikundi vyake haramu vya kishetani lakini mlipa Deni ni weweInasikitisha sana kudaiwa pesa ambayo hatujaishika
Dikiteta ibirisi mkoloni kaburu mama iddy Amin Dada anaitawala Tanganyika kimabavu kwa kuwateka kuwaua kuwabambikia kesi za uongo, kufunga makanisa, kutumia mahakamaccm vibaya kuwazuia chadema kufanya mikutano, ni wakati sasa Tanganyika idai Uhuru wake kila mmoja akae kwake kuepuka manyanyaso mateso ya Dikiteta Kaburu wa ZanzibarKwa mtu ambaye hajaenda Zanzibar (Unguja) miaka miwili leo akienda atashanga sana mabadiliko ya miundo mbinu. Mikopo imejenga kila sehemu Unguja.