Hakuna mtu atakuja kukugongea mlango nyumbani kwako kuwa unadaiwa deni la taifa-By Doctor wa Uchumi.Kutoka kwa Prof. Kitila akiwa bungeni muda huu amesema,
Hadi kufikia Machi 2025, deni la Taifa lilifikia Sh107.7 trilioni kutoka Sh91.7 trilioni katika kipindi kama hicho mwaka 2024 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 14.9.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo ameyasema hayo leo Juni 12, 2025 wakati akiwasilisha bungeni taarifa ya hali ya uchumi kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2025/2026.
Profesa Mkumbo amesema kati ya kiasi hicho deni la ndani lilikuwa Sh34.76 trilioni pekee.
“Ongezeko la deni lilitokana na Serikali kuendelea kupokea mikopo mipya kutoka vyanzo mbalimbali kwa ajili ya kugharamia miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya barabara, reli, viwanja vya ndege, umeme na maji,” amesema.
Total budget for 2025/26 shs 20.19 trillionKutoka kwa Prof. Kitila akiwa bungeni muda huu amesema,
Hadi kufikia Machi 2025, deni la Taifa lilifikia Sh107.7 trilioni kutoka Sh91.7 trilioni katika kipindi kama hicho mwaka 2024 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 14.9.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo ameyasema hayo leo Juni 12, 2025 wakati akiwasilisha bungeni taarifa ya hali ya uchumi kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2025/2026.
Profesa Mkumbo amesema kati ya kiasi hicho deni la ndani lilikuwa Sh34.76 trilioni pekee.
“Ongezeko la deni lilitokana na Serikali kuendelea kupokea mikopo mipya kutoka vyanzo mbalimbali kwa ajili ya kugharamia miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya barabara, reli, viwanja vya ndege, umeme na maji,” amesema.
Do not worry sir, we are stable economically, and our debt still payable.Total budget for 2025/26 shs 20.19 trillion
Amount set aside for servicing public debt shs 14.22 trillion
Therefore the % of budget set aside for servicing public ddbt is 14.22/20.19 x 100 = 70.431%
This is 95% of money borrowed from domestic and external commercial lenders.
In effect, you borrow to pay previous loans. This is called debt trap.
Payment for debt servicing is 13 times the expected grants and 42% of the tax collected by TRA.
So more than two-fifths of our taxes go to service public debt.
Source: The Citizen, 5/06/2025 p. 2
Kuna muda nahisi mimi sio mtanzania. Mbona sioni hiyo inayoitwa miradi ya maendeleo? Hizo trilion zinakopwa kwenda wapi?Kutoka kwa Prof. Kitila akiwa bungeni muda huu amesema,
Hadi kufikia Machi 2025, deni la Taifa lilifikia Sh107.7 trilioni kutoka Sh91.7 trilioni katika kipindi kama hicho mwaka 2024 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 14.9.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo ameyasema hayo leo Juni 12, 2025 wakati akiwasilisha bungeni taarifa ya hali ya uchumi kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2025/2026.
Profesa Mkumbo amesema kati ya kiasi hicho deni la ndani lilikuwa Sh34.76 trilioni pekee.
“Ongezeko la deni lilitokana na Serikali kuendelea kupokea mikopo mipya kutoka vyanzo mbalimbali kwa ajili ya kugharamia miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya barabara, reli, viwanja vya ndege, umeme na maji,” amesema.
😁😁😁😁Ndugai sijui ana hali gani saahii,107 tri!!!!
Hii Nchi isipouzwa itakuwa ajabu sana
Tunalipa bilioni tatu tunakopa trilioni hamsiniTunatumia Trilioni ngapi kwa mwaka kuservice deni?