Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
ko mtuhumiwa hana haki ya kutabasam au kucheza mziki??...............akifanya ivo anakuwa amevunja kifungu namba ngap cha sheria........au umeamka na hasira za AVIATOR ??....mkeka haukutiki au?.....................ππSipendezwi abadan na vitendo vinavyoashiria dharau kwa mahakama, serikali na nchi kwa ujumla vinavyoonyeshwa na baadhi ya watuhumiwa wawapo au waendapo mahakamani. Nitatoa mifano michache:
1. Nilishuhudia mmoja ya wale watuhumiwa waliotumwa kumbaka kwa kumrawiti na kumrekodi yule dada wa nyumbani akicheza muziki kwa kuchekesha kichwa bila wasiwasi wowote Huku akitabasamu kuashiria dharau. Mwingine akiwa anapelekwa kwenye ukumbi alionekana akimtisha mwandishi (mpigapicha) kwa kumuonyesha kidole na utoaji wa maneno kadhaa. Yaani umebaka, upo mahakamani Bado huonyeshi kujuta?!!!!
2. Wale waliofuja bilioni 6 wanaonekana wanatabasamu tu Kila wanapopelekwa mahakamani, tena wengine wamevalia kofia za kibongoman kabisa. Hii inanitia hasira sana Mimi kama mwananchi mzalendo kabisa wa nchi hii.
3. Kuna hawa matahira wengine ambao wakifika mahakamani kazi yao ni kunyoshanyosha vidole tu juu kama wanaocheza taarabu ya Hadija Kopa. Hii ni dharau kubwa sana kwa mahakama na serikali.
Athari ya haya;
Kubwa ni kwamba inapelekea uhamasishaji wa vitendo vya kiharifu.
Mapendekezo yangu:
1. Kuwe na sare maalum kwa mtuhumiwa yeyote yule aendaye mahakamani kujibu kesi. Hii ya Kila mtu kujivalia kivyake.
2. Kuwe na adhabu Kali ya papo kwa papo kwa mtuhumiwa yeyote atakayeonyesha vitendo vya utovu wa nidhamu. Kutosha, kucheka, kucheza na unyooshaji wa vidole juu naomba vichukuliwe kuwa ni utovu mkubwa wa nidhamu.
Nawasilisha nikiwa sifahamu chochote kuhusu Sheria.....πππ
Ewe nyumbu, uwe unasoma basi kwanza.ko mtuhumiwa hana aki ya kutabasam au kucheza mziki??...............akifanya ivo anakuwa amevunja kifungu namba ngap cha sheria........au umeamka na hasira za AVIATOR ??....mkeka haukutiki au?.....................ππ
SHULE ZA KATA ZILIANZISHWA ILI KUTOA NAFASI KWA WATANGANYIKA WENGI KUPATA ELIMU LKN KAMA MTOA MADA NI MOJA YA ZAO LA SHULE TAJWA HAPO JUU,NASHAURI ZIFUTWE!Sipendezwi abadan na vitendo vinavyoashiria dharau kwa mahakama, serikali na nchi kwa ujumla vinavyoonyeshwa na baadhi ya watuhumiwa wawapo au waendapo mahakamani. Nitatoa mifano michache:
1. Nilishuhudia mmoja ya wale watuhumiwa waliotumwa kumbaka kwa kumrawiti na kumrekodi yule dada wa nyumbani akicheza muziki kwa kuchekesha kichwa bila wasiwasi wowote Huku akitabasamu kuashiria dharau. Mwingine akiwa anapelekwa kwenye ukumbi alionekana akimtisha mwandishi (mpigapicha) kwa kumuonyesha kidole na utoaji wa maneno kadhaa. Yaani umebaka, upo mahakamani Bado huonyeshi kujuta?!!!!
2. Wale waliofuja bilioni 6 wanaonekana wanatabasamu tu Kila wanapopelekwa mahakamani, tena wengine wamevalia kofia za kibongoman kabisa. Hii inanitia hasira sana Mimi kama mwananchi mzalendo kabisa wa nchi hii.
3. Kuna hawa matahira wengine ambao wakifika mahakamani kazi yao ni kunyoshanyosha vidole tu juu kama wanaocheza taarabu ya Hadija Kopa. Hii ni dharau kubwa sana kwa mahakama na serikali.
Athari ya haya;
Kubwa ni kwamba inapelekea uhamasishaji wa vitendo vya kiharifu.
Mapendekezo yangu:
1. Kuwe na sare maalum kwa mtuhumiwa yeyote yule aendaye mahakamani kujibu kesi. Hii ya Kila mtu kujivalia kivyake.
2. Kuwe na adhabu Kali ya papo kwa papo kwa mtuhumiwa yeyote atakayeonyesha vitendo vya utovu wa nidhamu. Kutosha, kucheka, kucheza na unyooshaji wa vidole juu naomba vichukuliwe kuwa ni utovu mkubwa wa nidhamu.
Nawasilisha nikiwa sifahamu chochote kuhusu Sheria.....πππ
Kushtakiwa haimaanishi una kosa,hadi mahakama ithibitishe!,Sasa ukihukumiwa na ukakutana na kosa na kutajiwa adhabu yake Hilo tabasamu hutoliona hapo mahakamani.Sipendezwi abadan na vitendo vinavyoashiria dharau kwa mahakama, serikali na nchi kwa ujumla vinavyoonyeshwa na baadhi ya watuhumiwa wawapo au waendapo mahakamani. Nitatoa mifano michache:
1. Nilishuhudia mmoja ya wale watuhumiwa waliotumwa kumbaka kwa kumrawiti na kumrekodi yule dada wa nyumbani akicheza muziki kwa kuchekesha kichwa bila wasiwasi wowote Huku akitabasamu kuashiria dharau. Mwingine akiwa anapelekwa kwenye ukumbi alionekana akimtisha mwandishi (mpigapicha) kwa kumuonyesha kidole na utoaji wa maneno kadhaa. Yaani umebaka, upo mahakamani Bado huonyeshi kujuta?!!!!
2. Wale waliofuja bilioni 6 wanaonekana wanatabasamu tu Kila wanapopelekwa mahakamani, tena wengine wamevalia kofia za kibongoman kabisa. Hii inanitia hasira sana Mimi kama mwananchi mzalendo kabisa wa nchi hii.
3. Kuna hawa matahira wengine ambao wakifika mahakamani kazi yao ni kunyoshanyosha vidole tu juu kama wanaocheza taarabu ya Hadija Kopa. Hii ni dharau kubwa sana kwa mahakama na serikali.
Athari ya haya;
Kubwa ni kwamba inapelekea uhamasishaji wa vitendo vya kiharifu.
Mapendekezo yangu:
1. Kuwe na sare maalum kwa mtuhumiwa yeyote yule aendaye mahakamani kujibu kesi. Hii ya Kila mtu kujivalia kivyake.
2. Kuwe na adhabu Kali ya papo kwa papo kwa mtuhumiwa yeyote atakayeonyesha vitendo vya utovu wa nidhamu. Kutosha, kucheka, kucheza na unyooshaji wa vidole juu naomba vichukuliwe kuwa ni utovu mkubwa wa nidhamu.
Nawasilisha nikiwa sifahamu chochote kuhusu Sheria.....πππ
Kushtakiwa sio kosa ,hata mtoto anaweza kuwashtaki wazazi wake,kwa hiyo asitabasamu,huyu jamaa katili!SHULE ZA KATA ZILIANZISHWA ILI KUTOA NAFASI KWA WATANGANYIKA WENGI KUPATA ELIMU LKN KAMA MTOA MADA NI MOJA YA ZAO LA SHULE TAJWA HAPO JUU,NASHAURI ZIFUTWE!
YAANI MTU AKITUHUMIWA TU NDIO ANYIMWE HAKI YA KUTABASAMU?ππππππππππππππ.
Hivi kwanini division four wa d2 za kiswahili na edk huwa mnajifanya mna dharau sana?SHULE ZA KATA ZILIANZISHWA ILI KUTOA NAFASI KWA WATANGANYIKA WENGI KUPATA ELIMU LKN KAMA MTOA MADA NI MOJA YA ZAO LA SHULE TAJWA HAPO JUU,NASHAURI ZIFUTWE!
YAANI MTU AKITUHUMIWA TU NDIO ANYIMWE HAKI YA KUTABASAMU?ππππππππππππππ.
Kwa sababu tuna jitambua,tuna jiamini,tuna jiipenda na tuna jijali.Hivi kwanini division four wa d2 za kiswahili na edk huwa mnajifanya mna dharau sana?
Msitaje elimu mnajiaibishaKwa sababu tuna jitambua,tuna jiamini,tuna jiipenda na tuna jijali.
Hasa wewe.Msitaje elimu mnajiaibisha