Sio rahisi kama wanawalisha vizuri, ingawa kuna mazingira yanaweza tokea simba akaua sio kwa sababu anataka kula ila labda kahisi hatari au kachanganyikiwa tu.
Sijajua kama na simba wanapandishaga mashetani. Kama wanapandisha anaweza kukutafuna hata kama kashiba.