Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Naelezwa hiyo Park yenye wanyama wakali wakiwemo Simba ipo huko Kilimanjaro na inafanya biashara hasa ya utalii wa picha na kwalo hujipatia kipato jambo ambalo ni jema.
Lakini ipo siku Simba hao wanyama watamtafuna mtu nawaambia na hapo ndipo utaona Serikali ikitoa tamko la kuifungia.
Ni mchezo wa hatari mno unaoendelea kwenye hilo eneo la utalii wa picha.