THE SHADOW ONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,201
- 1,974
Kampuni hewa hata BRELA haijasajiliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hayo ukiongea humu JF ni kama unajisumbua.
hapa kahama wapo alliance na wamekodi jengo la NSSF na linatazama na mkuu wa wilaya,mkurugenzi wa wilaya na idara nyingi tu ila watoto wanapigwa pesa kama wajinga na navyo tazama huwa kuna gawio linatolewa na alafu ilo jengo kuna TRA
sometimes waweza kuta michezo yenyewe huenda ni ya wanene,manake haiwezekani serimpole ikakaa kimya like this'lakini na sisi wananchi tunajitakia wenyewe,toka lini ndani ya siku 3 laki ikazaa laki nyingine,,kama hatuumwi kifaduro ni nini?.........kwa hesabu hizo wanapataje faida?,wanawalipa vipi wafanyakazi wao?...wanalipaje kodi ya pango???wanalipaje umeme,maji na gharama nyingine za uendeshaji????wacha wajinga wapigwe tu.........MUNGU mwenyewe ametuacha tuishi tutakavyo ila malipo mengine ni hapahapa,mbinguni ni funga kazi tu,mfano ukizini na mke wa mtu wafa,ukizini kiholela wafa kwa maradhi,ukiiba wafa n.k......kwa ivo seikali acha ikae kimya tu!!!! watakaocheza huo mchezo watapata habari yao...yaani,watachamba wima!!Ukweli usiosemwa: Kwa Tanzania, UTAPELI ni Biashara iliyohalalishwa kabisa isipokuwa kwa wenye mamlaka tu
Mifumo ya Tanzania kiukweli inasikitisha sana. Masuala ya UTAPELI yamehalalishwa kabisa na watu wanaofanya UTAPELI wanafanya waziwazi bila kificho na hakuna anayewagusa. Tanzania hata siku moja usikae ukafikiri labda ukiwa kama Raia wa kawaida serikaali itakulinda. Suala la kujilinda ni...www.jamiiforums.com
Duh [emoji23][emoji23][emoji23]
pengine ni dume hilo, iyo DP yake ni kuwavuta wajingaDuh [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo mama kwenye dp haendani na hilo jibu alilotoa
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Huyo dada hapo juu ndio anatukana?
🤣🤣🤣🤣 Huyo dada yako ana nyota ya kutapeliwa/ya kupigwa.Kuna dada yangu mwalimu akiwaona hawa atajiunga fastaa sijui Huwa anamatatizo Gani kashapgwa na forever hii ya juzi kalyanda nayo pia kapgwa