Serikali fanyieni kazi Matapeli Wengine hawa hapa. Wanajitangaza bila woga kabisa. Nchi imekuwa kama haina mwenyewe

Kazi kwenu watanzania desi nyingine hiyo wamewachorea na maua kedekede kwenye tangazo
 
Haya matapel kuna dada kwenye whtsap grups anajnad sana kwamba wako buzuruga na hata hizo docment n fake zKo edted apo
 
Sasa kama taasisi zetu zinazotoa vibali vya biashara wakishatoa huwa hakuna follow up ya kufuatilia kama kile walichokisajili ndicho wanachokifanya? Hapa ni shamba la Bibi ndiyo maana hao matapeli wanasurvive bila stress
 
Mkuu hapo hamna kampuni ambayo imepewa kibali na taasisi za serikali. Unaweza check kampuni ambazo zimesajiliwa BRELA kupitia tovuti yao. Uki tafuta majina ambayo hiyo kampuni imeweka hapo juu hakuna usajili unakuja kwa majina hayo. Na ukicheck hivyo vyeti vyote walivyoweka ni fake.
 
Okay, inawezekana pia
 
Yani investment ya kimtandao (digital business) kampuni iache hata kuwekeza dar au mwanza town ikawekeze bush huko ngudu? [emoji23][emoji23] Jamaa wajanja wameamua wakae mpakani iwe rahisi kutimkia Burundi

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…