Soya pia nalimia namtumbo, kidogo mwaka huu ahueni ilikuepoUjue hakuna mnunuzi hapo. Serikali kwa miaka mingi imeshindwa kutafuta soko la mahindi na haisemi.
Wakulima hebu tafuteni zao mtakaloweza kuuza.
Kuliko kupoteza nguvu zenu bila uhakika wa soko.
Kuna aina ya maharage yanauzika kidogo katika soko la ndani.
Hebu fanyeni utafiti miyalime kama nilivyowashauri kwenye zao la Soya hapo juu.
Nawapenda sana wakulima, wanatulisha na mwisho sa siku wanabaki bila maendeleo.