Serikali haina mamlaka kuhoji juu ya imani za watu, hii ni hatari sana

ngebe

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
1,789
Reaction score
5,117
Hii ni zaidi ya hatari kama sheria iko namna hii basi ibatilishwe, maana kuna dhehebu zingine imani yao wanaamini kujilipua mabomu kwaajili ya mungu ni sawa je serikali isiingilie?

IMG_20210905_143610.jpg

kwa maana nyingine hakuna haja ya kusajili madhehebu

Nauliza pia kile kikao Cha Gwajima na Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer kiliishia wapi? maana alisema atakua laivu na ilitakiwa iwe ni jumanne iliyopita,
 
Hii ni zaidi ya hatari kama sheria iko namna hii basi ibatilishwe, maana kuna dhehebu zingine imani yao wanaamini kujilipua mabomu kwaajili ya mungu ni sawa je serikali isiingilie?

View attachment 1924760

Ni dhehebu gani imani yao inaruhusu kujilipua kwa ajili ya Mungu?
 
dhehebu la Alshabaab lipo huko somalia sasa je likiingia na Tanzania, serikali haitakiwi kuingilia?
 
Hilo sio dhehebu ni kundi la kihalifu kama yale yaliyokuwa kwa miaka mingi sehemu kama Angola, Msumbiji,Rwanda,Uganda n.k
 
Kitu ambacho kinavutia sana ni kuwa katika siku za Jumapili ibada zipo nyingi, na tena zinaendeshwa katika madhehebu tofauti ya dini ya Kikristo hapa nchini, lakini hii inayoendeshwa na Askofu Gwajima ndiyo pekee inapewa sana "attention" na mitandao mingi ya kijamii!

Pengine inawezekana ya kwamba Gwajima ndiye mtu pekee ndani ya chama chake mwenye uthubutu wa hali ya juu kuhoji mambo. Ama ni mmoja wapo wa makada wachache waliobakia kwa kutokuwa wanafiki au vigeugeu juu ya msimamo wa awali wa Rais JPM na sasa uliobadilika kwa ghafla dhidi ya chanjo za UVIKO 19.
 
Hilo sio dhehebu ni kundi la kihalifu kama yale yaliyokuwa kwa miaka mingi sehemu kama Angola, Msumbiji,Rwanda,Uganda n.k
wao humpigania mungu wao,
 
Silijui,litaje
Hili hapa....
Screenshot_20210905-145636.jpg
kama Hujaelewa kizungu hapo mtume wa hili lidini anasema anatamani kwenda Na vikundi vyake vitani(lakini kwasababu zilizopo nje ya uwezo wake hawezi) lakini angefurahi Sana kufia Dini alafu afufuke, afie Dini Tena alafu afufuke ili afie Dini tena.....kwahyo hapo anahamasisha vibaraka wake waende kufia dini
 
Hili hapa....View attachment 1924803kama Hujaelewa kizungu hapo mtume wa hili lidini anasema anatamani kwenda Na vikundi vyake vitani(lakini kwasababu zilizopo nje ya uwezo wake hawezi) lakini angefurahi Sana kufia Dini alafu afufuke, afie Dini Tena alafu afufuke ili afie Dini tena.....kwahyo hapo anahamasisha vibaraka wake waende kufia dini
😲😲
 
Hujui chochote kuhusu tafsiri za aya za quran
 
Mode futeni huu uzi..unakoelekea siko
 
Hii ni zaidi ya hatari kama sheria iko namna hii basi ibatilishwe, maana kuna dhehebu zingine imani yao wanaamini kujilipua mabomu kwaajili ya mungu ni sawa je serikali isiingilie?

View attachment 1924760

kwa maana nyingine hakuna haja ya kusajili madhehebu

Nauliza pia kile kikao Cha Gwajima na Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer kiliishia wapi? maana alisema atakua laivu na ilitakiwa iwe ni jumanne iliyopita,
Siyo sahihi kuhoji imani za watu ndiyo, lakini pia siyo sahihi kuhubiri mtazamo binafsi wa mtu na kuufanya kuwa ndiyo imani ya dini au neno la Mungu. In the first plance, kujoja imani za watu ni kuingilia uhuru wa kuhibiri/kutangaza dini. In the second place, kuhubiri mtazamo binafsi wa mtu na kuufanya imani ya dini au neno la Mungu ndiyo "kuwalisha waumini sumu ya idiologies" na mara zote aina hii ya mahubiri ndiyo chanzo cha fundamentalism, radicalisation na extremism. Fasili sahihi ya maandiko matakatifu ni ile inayowaongoza waumini kupendana, kusaidiana, kuwa kitu kimoja, kumwabudu Mwenyezi Mungu katika roho na kweli na kutenda haki zaidi katika maisha yao. Mahubiri yanayoleta migogoro katika jamii au yanayowashambulia watu wengine (personal attacks) hayawezi kuhusishwa na neno la Mungu. Kuhubiri unachoamini maana yake ni kuhubiri jinsi maandiko matakatifu yalivyokugusa na kuhusisha neno ulilolisoma na maisha ya kawaida ya watu katika kuleta wokovu katika maisha yao na kufanya imani ya waumini kuwa imara zaidi - kuishi upya katika imani, upendo, umoja na ujenzi wa taifa la Mungu kama chachu na kichocheo cha mabadiliko ya maisha ya watu kutoka kutenda dhambi kwenda kuishi katika mwanga wa/nuru ya wokovu. Kubadilisha mahubiri kuwa platform ya kurusha mawe kwa watu wengine si shahihi hata kidogo. Mhubiri anaweza kukosoa utendaji wa watu walio madarakani kama kuna ukiukwaji wa haki za msingi za watu au kuna vitendo vinavyowafanya watu kugeuka kuwa maadui wao kwa wao. Ukosoaji unakuwa umelenga kurudisha wenye mamlaka kwenye mstari bila kuwashambulia wao binafsi. Kuna haja ya wahubiri wetu kujifunza namna nzuri ya kuhubiri na kufikisha ujumbe kwa hadhira lengwa bila kuwavunjia baadhi ya watu heshima machoni pa jamii.
 
Hii ni zaidi ya hatari kama sheria iko namna hii basi ibatilishwe, maana kuna dhehebu zingine imani yao wanaamini kujilipua mabomu kwaajili ya mungu ni sawa je serikali isiingilie?

View attachment 1924760

kwa maana nyingine hakuna haja ya kusajili madhehebu

Nauliza pia kile kikao Cha Gwajima na Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer kiliishia wapi? maana alisema atakua laivu na ilitakiwa iwe ni jumanne iliyopita,
Tafuta coment yangu nilisema hapa kuwa wakimuuliza atasema kuwa alisemea kanisani sio jimboni hivyo bunge sijui kamati haina pa kumshikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili hapa....View attachment 1924803kama Hujaelewa kizungu hapo mtume wa hili lidini anasema anatamani kwenda Na vikundi vyake vitani(lakini kwasababu zilizopo nje ya uwezo wake hawezi) lakini angefurahi Sana kufia Dini alafu afufuke, afie Dini Tena alafu afufuke ili afie Dini tena.....kwahyo hapo anahamasisha vibaraka wake waende kufia dini
Teh teh teh..
Hatari sana hiyo sera!!!
 
Back
Top Bottom