Serikali haina mamlaka kuhoji juu ya imani za watu, hii ni hatari sana

Serikali haina mamlaka kuhoji juu ya imani za watu, hii ni hatari sana

Kuna Aya ya Quran nimeweka hapo?[emoji23][emoji16][emoji23]
Haya kama umeiona wewe unaejua itafsiri,
Kwangu mimi huo mnaouita ugaidi naupenda sana.Maana unafundisha muumini wake kutokubali kudhurumiwa,kunyanyaswa,kuonewa kwa namna yoyote ile.
Basi mimi huwa sidhurumiki,sinyanyaswi na wala siruhusu kufanyiwa uonevu.Ukijaribu ntakushughulikia tu.
 
Asante member atleast wewe unakiri....ila Sasa tatizo wenzako wanadai Hayo mafundisho hayapo kabisa kwenye vitabu vyenu Na wanaoyafata kama kina Hamza Ni wapotofu Na hawaijui dini.
 
Asante member atleast wewe unakiri....ila Sasa tatizo wenzako wanadai Hayo mafundisho hayapo kabisa kwenye vitabu vyenu Na wanaoyafata kama kina Hamza Ni wapotofu Na hawaijui dini.
Mi upande wangu ni Taliban.Hao wengine watajua wenyewe.
 
Sipendi kumsema mtumishi wa Mungu, ila anazidisha sasa na kukosa busara....Angetulia kidogo kutoa nafasi ya huu mvutano kuisha...Mtumishi wa Mungu kuwa mtu mbishi siyo character ya Roho mtakatifu kabisa
 
Nilimshaiuri Gwajima asijibu swalili lolote kwenye kamati na akatii.

Kwa hiyo na Spika aliyekosea Mambo ya dini bungeni ahojiwe kanisani?

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Weka kifungu cha sheria kinachoipa serikali mamlaka ya kuhoji mafundisho na mitazamo ya watu ambayo haiathiri watu wengine ila wao wenyew
Usilete bla bla Kaka na mifano yako mfu
 
Weka kifungu cha sheria kinachoipa serikali mamlaka ya kuhoji mafundisho na mitazamo ya watu ambayo haiathiri watu wengine ila wao wenyew
Usilete bla bla Kaka na mifano yako mfu
aliitwa athibitishe madai yake yeye anasingizia roho mtakatifu, huyo fala si alihaidi akienda kwenye kamati ataeleza ukweli wote?
ukweli gani sasa alioeleza
 
Hii ni zaidi ya hatari kama sheria iko namna hii basi ibatilishwe, maana kuna dhehebu zingine imani yao wanaamini kujilipua mabomu kwaajili ya mungu ni sawa je serikali isiingilie?

View attachment 1924760

kwa maana nyingine hakuna haja ya kusajili madhehebu

Nauliza pia kile kikao Cha Gwajima na Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer kiliishia wapi? maana alisema atakua laivu na ilitakiwa iwe ni jumanne iliyopita,
Kauli anazotoa Gwajima zingetolewa Msikitini matokeo yangekuwa tofauti sana, Serikali ya CCM ina ndimi tatu,kauli hiyo hiyo moja ikitolewa na mpinzani,Mkristo , Muislam na mtu kutoka Kanda fulani lazima serikali itaipa majina,tafsiri na mtazamo tofauti kabisa.
 
Sawa...Hivi Kuna tofauti Gani ya Taliban Na ISIS?
ISIS inasemekana ni kikundi kilichoundwa wa wamarekani wenyewe kwa siri.Taliban ni walinyang'wa utawala wa nchi yao kinguvu na kwa visingizio kibao toka kwa marekani.
 
Kwani mahubiri yanaratibiwa na nani?
CCM,CHADEMA, bunge, mahakama,serikali au kitu gani?
 
Kauli anazotoa Gwajima zingetolewa Msikitini matokeo yangekuwa tofauti sana, Serikali ya CCM ina ndimi tatu,kauli hiyo hiyo moja ikitolewa na mpinzani,Mkristo , Muislam na mtu kutoka Kanda fulani lazima serikali itaipa majina,tafsiri na mtazamo tofauti kabisa.
sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom