he is wronghiyo sio sawa
Ni dhehebu gani imani yao inaruhusu kujilipua kwa ajili ya Mungu?Hii ni zaidi ya hatari kama sheria iko namna hii basi ibatilishwe, maana kuna dhehebu zingine imani yao wanaamini kujilipua mabomu kwaajili ya mungu ni sawa je serikali isiingilie?
View attachment 1924760
kwa maana nyingine hakuna haja ya kusajili madhehebu
dhehebu la Alshabaab lipo huko somalia sasa je likiingia na Tanzania, serikali haitakiwi kuingilia?Ni dhehebu gani imani yao inaruhusu kujilipua kwa ajili ya Mungu?
Usijikate kichwa,,,Kila mtu analijuaNi dhehebu gani imani yao inaruhusu kujilipua kwa ajili ya Mungu?
Hilo sio dhehebu ni kundi la kihalifu kama yale yaliyokuwa kwa miaka mingi sehemu kama Angola, Msumbiji,Rwanda,Uganda n.kdhehebu la Alshabaab lipo huko somalia sasa je likiingia na Tanzania, serikali haitakiwi kuingilia?
Silijui,litajeUsijikate kichwa,,,Kila mtu analijua
wao humpigania mungu wao,Hilo sio dhehebu ni kundi la kihalifu kama yale yaliyokuwa kwa miaka mingi sehemu kama Angola, Msumbiji,Rwanda,Uganda n.k
Hili hapa....Silijui,litaje
😲😲Hili hapa....View attachment 1924803kama Hujaelewa kizungu hapo mtume wa hili lidini anasema anatamani kwenda Na vikundi vyake vitani(lakini kwasababu zilizopo nje ya uwezo wake hawezi) lakini angefurahi Sana kufia Dini alafu afufuke, afie Dini Tena alafu afufuke ili afie Dini tena.....kwahyo hapo anahamasisha vibaraka wake waende kufia dini
Hujui chochote kuhusu tafsiri za aya za quranHili hapa....View attachment 1924803kama Hujaelewa kizungu hapo mtume wa hili lidini anasema anatamani kwenda Na vikundi vyake vitani(lakini kwasababu zilizopo nje ya uwezo wake hawezi) lakini angefurahi Sana kufia Dini alafu afufuke, afie Dini Tena alafu afufuke ili afie Dini tena.....kwahyo hapo anahamasisha vibaraka wake waende kufia dini
Kuna Aya ya Quran nimeweka hapo?[emoji23][emoji16][emoji23]Hujui chochote kuhusu tafsiri za aya za quran
Siyo sahihi kuhoji imani za watu ndiyo, lakini pia siyo sahihi kuhubiri mtazamo binafsi wa mtu na kuufanya kuwa ndiyo imani ya dini au neno la Mungu. In the first plance, kujoja imani za watu ni kuingilia uhuru wa kuhibiri/kutangaza dini. In the second place, kuhubiri mtazamo binafsi wa mtu na kuufanya imani ya dini au neno la Mungu ndiyo "kuwalisha waumini sumu ya idiologies" na mara zote aina hii ya mahubiri ndiyo chanzo cha fundamentalism, radicalisation na extremism. Fasili sahihi ya maandiko matakatifu ni ile inayowaongoza waumini kupendana, kusaidiana, kuwa kitu kimoja, kumwabudu Mwenyezi Mungu katika roho na kweli na kutenda haki zaidi katika maisha yao. Mahubiri yanayoleta migogoro katika jamii au yanayowashambulia watu wengine (personal attacks) hayawezi kuhusishwa na neno la Mungu. Kuhubiri unachoamini maana yake ni kuhubiri jinsi maandiko matakatifu yalivyokugusa na kuhusisha neno ulilolisoma na maisha ya kawaida ya watu katika kuleta wokovu katika maisha yao na kufanya imani ya waumini kuwa imara zaidi - kuishi upya katika imani, upendo, umoja na ujenzi wa taifa la Mungu kama chachu na kichocheo cha mabadiliko ya maisha ya watu kutoka kutenda dhambi kwenda kuishi katika mwanga wa/nuru ya wokovu. Kubadilisha mahubiri kuwa platform ya kurusha mawe kwa watu wengine si shahihi hata kidogo. Mhubiri anaweza kukosoa utendaji wa watu walio madarakani kama kuna ukiukwaji wa haki za msingi za watu au kuna vitendo vinavyowafanya watu kugeuka kuwa maadui wao kwa wao. Ukosoaji unakuwa umelenga kurudisha wenye mamlaka kwenye mstari bila kuwashambulia wao binafsi. Kuna haja ya wahubiri wetu kujifunza namna nzuri ya kuhubiri na kufikisha ujumbe kwa hadhira lengwa bila kuwavunjia baadhi ya watu heshima machoni pa jamii.Hii ni zaidi ya hatari kama sheria iko namna hii basi ibatilishwe, maana kuna dhehebu zingine imani yao wanaamini kujilipua mabomu kwaajili ya mungu ni sawa je serikali isiingilie?
View attachment 1924760
kwa maana nyingine hakuna haja ya kusajili madhehebu
Nauliza pia kile kikao Cha Gwajima na Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer kiliishia wapi? maana alisema atakua laivu na ilitakiwa iwe ni jumanne iliyopita,
Tafuta coment yangu nilisema hapa kuwa wakimuuliza atasema kuwa alisemea kanisani sio jimboni hivyo bunge sijui kamati haina pa kumshikiaHii ni zaidi ya hatari kama sheria iko namna hii basi ibatilishwe, maana kuna dhehebu zingine imani yao wanaamini kujilipua mabomu kwaajili ya mungu ni sawa je serikali isiingilie?
View attachment 1924760
kwa maana nyingine hakuna haja ya kusajili madhehebu
Nauliza pia kile kikao Cha Gwajima na Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer kiliishia wapi? maana alisema atakua laivu na ilitakiwa iwe ni jumanne iliyopita,
Teh teh teh..Hili hapa....View attachment 1924803kama Hujaelewa kizungu hapo mtume wa hili lidini anasema anatamani kwenda Na vikundi vyake vitani(lakini kwasababu zilizopo nje ya uwezo wake hawezi) lakini angefurahi Sana kufia Dini alafu afufuke, afie Dini Tena alafu afufuke ili afie Dini tena.....kwahyo hapo anahamasisha vibaraka wake waende kufia dini