GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Nje ya Mada. Wenye Multiple IDs hapa JamiiForums wanawezaje Kuzimiliki, wakati Mimi GENTAMYCINE hii moja tu niliyonayo inanitoa Jasho?Paschal Mayalla:
1. Ni msomi mwenye taaluma ya Sheria na uandishi wa habari
2. Ni Mwandishi wa Habari mwenye uzoefu wa miaka mingi
3. Ni mtu jasiri anayejiamini
4. Ni kada wa Chama Tawala asiye mwoga kukisemea pale inapobidi
5. Alishawahi kugombea nafasi ya ubunge EALA lakini kura hazikutosha
6. Anafaa kuwa Msemaji wa Serikali, Mwandishi wa Rais, Mbunge, Waziri, Katibu Tawala wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Mkurugenzi wa TBC, Mkurugenzi wa Manispaa au Jiji na nafasi zinginezo zinazofana na hizo.
Wanakuona sana mkuu ila itakuwa ni wivu tuNinachojiuliza ina maana serikali Mimi hainioni au ni kiburi tu?
Nani hao mkuu?Nje ya Mada. Wenye Multiple IDs hapa JamiiForums wanawezaje wakati Mimi GENTAMYCINE hii moja tu niliyonayo inanitoa Jasho?
Si kosa na wewe kujichagulia na wewe ikiwa una uhakika utafanya vizuri zaidi kumzidi wa sasa.
Wanajijua na Chawa wao Gegedu walionao hapa JamiiForums.Nani hao mkuu?
Inawezekana ni ID yako ndiyo inayosababisha upitwe. Wageni hawaruhusiwi kushika nafasi za maamuzi Tanzania.Ninachojiuliza ina maana serikali Mimi hainioni au ni kiburi tu?
Inawezekana wanakuhitaji lakini wanashindwa jinsi ya kukupatamimi ngoja nijitaje mwenyewe
Ni kweli mkuu! JF imejaa vichwa lukuki wanaoweza kuisiadia sana Serikali wakipewa nafasi.Eti vichwa [emoji1]
Ova