Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Naunga mkono,Paschal Mayalla:
1. Ni msomi mwenye taaluma ya Sheria na uandishi wa habari
2. Ni Mwandishi wa Habari mwenye uzoefu wa miaka mingi
3. Ni mtu jasiri anayejiamini
4. Ni kada wa Chama Tawala asiye mwoga kukisemea pale inapobidi
5. Alishawahi kugombea nafasi ya ubunge EALA lakini kura hazikutosha
6. Anafaa kuwa Msemaji wa Serikali, Mwandishi wa Rais, Mbunge, Waziri, Katibu Tawala wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Mkurugenzi wa TBC, Mkurugenzi wa Manispaa au Jiji na nafasi zinginezo zinazofana na hizo.
Paskali awezeshwe kua mtumishi wa umma regardless ni katika nafasi gani, ana kakitu mjamaa.
ni muugwana kwakweli 🐒