Serikali haioni hivi vichwa vilivyopo JamiiForums?

Usitupangie sisi tumewaona wakina makonda na chalamila
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Ukiambiwa fulani hapa JF na michango yake na jinsi anavyoikosoa Serikali hapa JF kuwa ni mbunge huwezi amini .. Nenda umkute bunge yeye ni mwendo wa ndiyoooooo...

Watu wanacheza kuendana na beat tu .. Hata hao unaowafikiria wakipewa nafasi lazima hawataweza fanya lolote.

Wabunge wanachaguliwa na wananchi ili wakawakilishe mawazo ya wananchi bungeni, tatizo linakuja huwezi kuwa mbunge bila kuwa mwanachama wa chama cha siasa.

Mbunge au yeyote anayepata teuzi katika nchi yetu anaenda kuwatumikia mabwana wawili na ndipo mgongano wa kimaslahi hutokea.

Mifano ni kama Bashe, Nape, Silinde na wengine wengi .
 
Kumbe mko humu kunyemelea teuzi? Basi muwe kasoro kuweka namba zenu hadharani ili muweze kufikiwa upesi! Ingawa sina hakika kama wakikujitaji watakulosa kama wa nakuhitaji!!😹😹
Niliowataja hawajawahi kusema wanazihitaji hizo nafasi. Ni Mimi, kwa nafasi yangu binafsi nimeona kuwa hao watu wangeweza kilisaidia sana Taifa. Na nakuhakikishia, ningekuwa Rais wa JMT au hata wa kule Zenji, nisingewaacha watu kama hao. Lazima ningewapa kazi za kunisaidia kwa maslahi ya nchi. Sema sasa ndiyo hivyo tena, sina mpango kabisa wa kuingia kwenye Siasa. Sina hata uanachama wa Chama chochote cha Kisiasa. Mimi ni mpiga kura tu mwaminifu.
 
Ukiambiwa fulani hapa JF na michango yake na jinsi anavyoikosoa Serikali hapa JF kuwa ni mbunge huwezi amini .. Nenda umkute bunge yeye ni mwendo wa ndiyoooooo...

Watu wanacheza kuendana na beat tu .. Hata hao unaowafikiria wakipewa nafasi lazima hawataweza fanya lolote.

Wabunge wanachaguliwa na wananchi ili wakawakilishe mawazo ya wananchi bungeni, tatizo linakuja huwezi kuwa mbunge bila kuwa mwanachama wa chama cha siasa.

Mbunge au yeyote anayepata teuzi katika nchi yetu anaenda kuwatumikia mabwana wawili na ndipo mgongano wa kimaslahi hutokea.

Mifano ni kama Bashe, Nape, Silinde na wengine wengi .
Siyo wote mkuu! Kuna watu wameonesha misimamo yao mwanzo hadi mwisho bila kuhofia nafasi zao.

Unamuonaje Mpina?

Vipi Mzee Warioba na suala la Katiba, unafikiri kuna mtu anaweza kumrubuni huyo Mzee awasaliti Watanzania kuhusiana na uhitaji wa Katiba Mpya?

Vipi kwa aliyekuwa Mbunge wa Njombe, marehemu Deo Filikonjombe, huyo misimamo yake ilikuwaje?
 
Tutawapata vipi wakati nyie na Wanawake wenu mnafunga PM.
Ngoja tuendelee kuwatumia Uvccm na wale wanaunga juhudi
Tuambie kwanza wewe ni nani ili tukufungulie. Tutajie jina, cheo na namba ya simu.
 
Ukiambiwa fulani hapa JF na michango yake na jinsi anavyoikosoa Serikali hapa JF kuwa ni mbunge huwezi amini .. Nenda umkute bunge yeye ni mwendo wa ndiyoooooo...

Watu wanacheza kuendana na beat tu .. Hata hao unaowafikiria wakipewa nafasi lazima hawataweza fanya lolote.

Wabunge wanachaguliwa na wananchi ili wakawakilishe mawazo ya wananchi bungeni, tatizo linakuja huwezi kuwa mbunge bila kuwa mwanachama wa chama cha siasa.

Mbunge au yeyote anayepata teuzi katika nchi yetu anaenda kuwatumikia mabwana wawili na ndipo mgongano wa kimaslahi hutokea.

Mifano ni kama Bashe, Nape, Silinde na wengine wengi .
Hilo ndio tatizo kubwa lililopo, hawezi kutumikia wananchi bila kuwasikiliza mabwana zake wa chama wanasemaje
 
Unafikiri hawa wanao pretend kua kama wao ni malaika hapa JF wakipewa hizo nafasi watakua ndio hawa hawa unaowajua hapa JF?

Ni watu wangapi hua wapo vizuri ila baada ya kupewa nafasi hubadilika?
Wengi habdilika lakini si wote mkuu.

Nina uhakika hao niliowataja hawawezi kubadilika. Si watu wa kuendekeza njaa.
 
Niliowataja hawajawahi kusema wanazihitaji hizo nafasi. Ni Mimi, kwa nafasi yangu binafsi nimeona kuwa hao watu wangeweza kilisaidia sana Taifa. Na nakuhakikishia, ningekuwa Rais wa JMT au hata wa kule Zenji, nisingewaacha watu kama hao. Lazima ningewapa kazi za kunisaidia kwa maslahi ya nchi. Sema sasa ndiyo hivyo tena, sina mpango kabisa wa kuingia kwenye Siasa. Sina hata uanachama wa Chama chochote cha Kisiasa. Mimi ni mpiga kura tu mwaminifu.
Tunapambana ili kupata mgombea binafsi ili tunufaike na vichwa kama chako
 
Back
Top Bottom