Serikali haioni hivi vichwa vilivyopo JamiiForums?

Serikali haioni hivi vichwa vilivyopo JamiiForums?

Wekeni majina yenu wazi ili mjulikane vizuri na hoja zenu; hiyo ndio marketing na branding yako!!
Mfano si huyo Mubyazi wenu hapo JF ; mawazo na misimamo yake inajulikana sio ya kichawa na ndio maana anapata uteuzi!! Sasa nyie wakina Mayalla Njaa leo uko ccm kesho unaponda ccm , huwezi pata uteuzi kwasababu ni opportunist, kwa lugha nyepesi MNAFIKI !
Inafahamika kuwa Mayalla ni CCM, na yeye mwenyewe ameliweka hilo wazi. Lakini hilo halimfanyi asitumie taaluma yake ya uandishi kukosoa Chama cho chote cha Siasa, kikiwemo cha kwake, akiona inafaa.
 
nipo huko siku nyingi sana,
na kwa miswada makini sana hii ya uchaguzi na tume ya uchaguzi tunajadili hapa mjengoni,
najiskia kuomba tena ridhaa kwa wananchi kwa awamu nyingine tena 2025-2030...
Hongera mkuu! Vipi ule muswada mpya uliopigiwa kelele na wananchi, na wewe utaupitisha?
 
Ukiambiwa fulani hapa JF na michango yake na jinsi anavyoikosoa Serikali hapa JF kuwa ni mbunge huwezi amini .. Nenda umkute bunge yeye ni mwendo wa ndiyoooooo...

Watu wanacheza kuendana na beat tu .. Hata hao unaowafikiria wakipewa nafasi lazima hawataweza fanya lolote.

Wabunge wanachaguliwa na wananchi ili wakawakilishe mawazo ya wananchi bungeni, tatizo linakuja huwezi kuwa mbunge bila kuwa mwanachama wa chama cha siasa.

Mbunge au yeyote anayepata teuzi katika nchi yetu anaenda kuwatumikia mabwana wawili na ndipo mgongano wa kimaslahi hutokea.

Mifano ni kama Bashe, Nape, Silinde na wengine wengi .
Naunga mkono hoja
 
Hongera mkuu! Vipi ule muswada mpya uliopigiwa kelele na wananchi, na wewe utaupitisha?
wananchi wa wap walolalamika?

wale wako nyuma yangu wanahitaji yale muhimu zaidi ya maji, afya na elimu kwa uchache, na tunasonga vizuri sana. Na hiyo awamu ijayo tukijaaliwa tunaongeza vipaumbele vingine muhimu zaidi...

aste haste mpaka kieleweke....
 
Back
Top Bottom