Serikali haioni hivi vichwa vilivyopo JamiiForums?

Kwa kweli tufurahi tu!hata neno la Mungu linasema,Ufalme wa mbinguni utatekwa na wenye nguvu,hivyo Kwa vile mchungaji wetu ana nguvu za kuteka hata falme za Dunia,Nina uhakika na Ufalme wa Mungu tutauteka au sio baba Tlaatlaah ?Jamani kitengo Cha sadaka mbebe vizuri makapu hakikisha hayajatoboka
Unavyopenda pesa hapo kashakuvuruga 🤣🤣🤣
 
Kwa kweli tufurahi tu!hata neno la Mungu linasema,Ufalme wa mbinguni utatekwa na wenye nguvu,hivyo Kwa vile mchungaji wetu ana nguvu za kuteka hata falme za Dunia,Nina uhakika na Ufalme wa Mungu tutauteka au sio baba Tlaatlaah ?Jamani kitengo Cha sadaka mbebe vizuri makapu hakikisha hayajatoboka
siku zijazo nikijaaliwa kuja hapo Dar es Salaam tena, nitarudia kufundisha wapendwa somo lenye kichwa

"Namna ya kutambua ulimwengu wa Giza na ulimwengu wa Nuru"

itasadia sana kukwepa uharibifu na kuchangamkia Baraka za Mungu...

Uskose
 
Ni kweli mkuu! JF imejaa vichwa lukuki wanaweza kuisiadia sana Serikali wakipewa nafasi.

Mchukulie kwa mfano Gentamycine, ingawa ni "mkorofi", ni mtu mwenye akili mingi sana.
Ni kweli humu kuna watu wako vizuri
Mimi mwenyewe nimoo mkuu

Ova
 
siku zijazo nikijaaliwa kuja hapo Dar es Salaam tena, nitarudia kufundisha wapendwa somo lenye kichwa

"Namna ya kutambua ulimwengu wa Giza na ulimwengu wa Nuru"

itasadia sana kukwepa uharibifu na kuchangamkia Baraka za Mungu...

Uskose
Yaani hili Somo ni Muhimu sana Lamomy Kuna Somo la utambuzi usikose🤣🤣🤣🤣
 
Great thinker wengi wapo well financial stable na wengi wapo employed na wengine self-employed na nafikiri wangekuwa wanataka uteuzi wangetumia I'd ambazo sio fake.

Kuhusu Pascal Mayalla aliwahi kusema yeye haitaji teuzi ndogo kama U-DC na U-RC maana aliacha kazi ambayo alikua analipwa pesa nyingi.
 
Back
Top Bottom