Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka wawe mikia?🤣Eti vichwa [emoji1]
Ova
HV hapa jf watu wanaongoza kwa ukozefu wa akili si chiz maaarifaHuu uteuzi Madam President asimsahau Mtu mwenye akili nyingi Chizi Maarifa
No,usimwangalie Kwa macho ya juu juu Tafakari vitu anavyoandika Kwa utulivu sana utagundua ni kichwa smart sana....HV hapa jf watu wanaongoza kwa ukozefu wa akili si chiz maaarifa
nimelizingatia vizuri sana mtumishi 🤓Afanye hivyo kwanza ili tumsaidie kumtafutia kura 2025 arudi tena mjengoni
Zingatia sana hicho kipengele 🤣🤣🤣🤣kwahiyo nami nilishe kondoo zangu right?🤣
Tuteuliwe tu hivyohivyo hata kama wananchi hawatupendi,we umeona wapi mtanzania anampenda Mtu aliyeteuliwa bwana,Madam president awapuuzie tu sie tukachape kazi😆😆😆😆Ninao ushauri kwa hawa ambao tunawabariki hapa wapate nafasi za utumishi wa kisiasa serikali.
Ni jambo zuri sana, nami binafsi naona wanastahili kulingana na sifa za kitaalamu walizonazo..
Nitoe mfano changamoto ambayo inaweza kuchelewesha jambo hili,
mathalani kwa Paskali na kuna mjamaa mwingine anaitwa kakeke.
misimamo yao binafsi kidini pamoja na misimamo yao ya misingi ya taaluma zao itawafanya wasipendwe au kuhitajika kwenye nafasi za uteuzi ktk siasa hususan za Tz, licha ya kwamba they have qualifications and requirements to be appointment
Hata na hivyo kwa neema za Mungu inawezekana 🐒
Barikiwa sana.nimelizingatia vizuri sana mtumishi 🤓
Tuteuliwe tu hivyohivyo hata kama wananchi hawatupendi,we umeona wapi mtanzania anampenda Mtu aliyeteuliwa bwana,Madam president awapuuzie tu sie tukachape kazi😆😆😆😆
sio wananchi hapana, wananchi hawateui wanachagua kwenye uchaguzi tu....Tuteuliwe tu hivyohivyo hata kama wananchi hawatupendi,we umeona wapi mtanzania anampenda Mtu aliyeteuliwa bwana,Madam president awapuuzie tu sie tukachape kazi😆😆😆😆
napokea Baraka 🙏Barikiwa sana.
Sisi wenye akili nyingi tunabaguliwa sana. Yaani mpaka sometimes najisikia vibaya. Hatupewi teuzi kabisa. Wanapewa tu wale ambao ni kinyume na sisi.Huu uteuzi Madam President asimsahau Mtu mwenye akili nyingi Chizi Maarifa
Wenye akili wenzio tunautambua umuhimu wako!kama vipi tuachane na mambo ya teuzi twende zetu kwenye mambo chaguzi tukajizolee mi-kura😁Sisi wenye akili nyingi tunabaguliwa sana. Yaani mpaka sometimes najisikia vibaya. Hatupewi teuzi kabisa. Wanapewa tu wale ambao ni kinyume na sisi.
Nimekupata vizuri sana baba mchungaji,ndio Uzuri wa kuwa na baba mchungaji aliyesoma political science,sijui kama Gwajima nae anajua vitu kama hivi!😁😁😁sio wananchi hapana, wananchi hawateui wanachagua kwenye uchaguzi tu....
nazungumzia watu wa vetting wanaosaidia mamlaka ya uteuzi, huwa na wao wanatumia vigezo vyao binafsi vingine wanavyovijua wao kisiasa tofauti na sifa mahususi stahiki....
huwa wana kitu kinaitwa fear of unknown juu ya watu kama hawa kwamba kwa hulka nilizotaja zinaweza kuzuia au kuchelewesha masuala kadhaa yasiende mbele na kumkwamisha kiongozi mkuu wa uteuzi kuyafikia malengo yake...
Muhimu ni kuwa na kiasi hivyo vya kibinafsi, halafu kuchagua moja huko ndani ya siasa kwamba kusuka au kunyoa, kuchinja au kunyonga🐒
Thubutu,angeenda kugombea ubungeGreat thinker wengi wapo well financial stable na wengi wapo employed na wengine self-employed na nafikiri wangekuwa wanataka uteuzi wangetumia I'd ambazo sio fake.
Kuhusu Pascal Mayalla aliwahi kusema yeye haitaji teuzi ndogo kama U-DC na U-RC maana aliacha kazi ambayo alikua analipwa pesa nyingi.
Kabisa mwaka ujao nataka nichukue form ya Urais. Tusiwaachie hawa wengine watuongoze nasi tukazane.Wenye akili wenzio tunautambua umuhimu wako!kama vipi tuachane na mambo ya teuzi twende zetu kwenye mambo chaguzi tukajizolee mi-kura😁