Serikali haioni hivi vichwa vilivyopo JamiiForums?

Kwahiyo wewe mleta mada ni kichwa kitupu? hata wewe mwenyewe hujajitaja yaani hujiamini,kama hujiamini unawezaje kuwaamini wengine? inatakiwa mtu smart kichwani ili kuwatambua watu smart.
Mkuu ww ni mkorofi eti?
 
Kabisa mwaka ujao nataka nichukue form ya Urais. Tusiwaachie hawa wengine watuongoze nasi tukazane.
I hope nitakuwa makamu wa pili wa raisi mwanamke kwenye history ya Taifa....Kila la kheri
 
Wee ungenyoosha tu maelezo kuwa Mshana ni mbobevu Kwenye ishu za Kishirikina,hivyo Serikali ingeweza kumtumia Kwenye nyanja za Security.Fullstop.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Wasimsahau na faiza foxy hata viti maalumu wakuu,namuona yuko vizuri ukiaacha unazi wake wakidini
 
hivi Fortunatus Buyobe mzee wa uzi kama movie naaaaaaaaaaaaam yupo humu? yule jamaa sasa ndo kichwa
 
Namna hiyo!! 😍😍
Tutakusaidia kupiga kampeni tuzoe kura za NDIYO zote kwako
Mungu ni mwema sana wapendwa.. asanti sana kwa majitoleo na utayari wenu wa bila kujibakiza kwa ajili yangu...
Mungu awabariki saana..
 
Wee ungenyoosha tu maelezo kuwa Mshana ni mbobevu Kwenye ishu za Kishirikina,hivyo Serikali ingeweza kumtumia Kwenye nyanja za Security.Fullstop.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Mkuu, wewe unaamini Mshana Jr ni mshirikina?

Anaweza akawa anazijua siri za wachawi lakini siamini kama ni mchawi. Humwoni kwamba amekaa kichungaji chungaji vile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…