Serikali Haitavumilia Kupuuzwa Haki za Wananchi

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Haki si hisani. Tunataka anayestahili haki apewe haki yake. Serikali haitavumilia vitendo vya kupora au kuchelewesha haki za wananchi kwa sababu yoyote ile-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

📍Isimani-Iringa
🗓️Juni 5, 2026
———————————

Amesema hayo wakati alipozungumza katika mkutano wa hadhara na wakazi wa Isimani, Mkoani I
ringa.
 
Wauaji haki gani mnayozungumzia?.

Haki ya kuua?
20260422_092702.jpg
 
..Mungu nifundishe kunyamaza
Haki si hisani. Tunataka anayestahili haki apewe haki yake. Serikali haitavumilia vitendo vya kupora au kuchelewesha haki za wananchi kwa sababu yoyote ile-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

📍Isimani-Iringa
🗓️Juni 5, 2026
———————————

Amesema hayo wakati alipozungumza katika mkutano wa hadhara na wakazi wa Isimani, Mkoani I
View attachment 3601734ringa.
 
Haki za binadamu
Ccm walisherehekea siku ya wanawake wale wa chadema wakavulimishiwa mabom
 
Back
Top Bottom