BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,199
Serikali inatumia mpira wa migumu na sekta ya burudani kupitia bongo fleva,kulaza fikra za watu,chunguza ushiriki wetu Olimpiki,uhamasishaji Ili kupata washiriki wenye viwango, unapeleka washiriki Saba kwenye nchi yenye takribani watu 60m?
Angalia kiongozi wa nchi anavyohangaika na Yanga na Simba.Zimejaza wageni ndio wanapewa nafasi.Sisi fikra zetu kuwaza majina ya wachezaji. Badala ya kujibu changamoto za nchi.
Soma Pia: Watanzania 7 kupeperusha Bendera ya Tanzania katika Olimpiki 2024 huko Paris
Tuamke usingizini,kujiondoa kwenye huu ujinga tuliioingizwa na kubeti tunaona ndio maisha halisi,